thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,432
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moderater ndio kina nani hao?
We acha tu njaa ndo imepelekea kukosea haposharia,
Hawa ni wazee wa kazi kama vile FISIModerater ndio kina nani hao?
Hahahahah!!!!mi nshakula kama nne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani huyo jamaa ni kiazi mviringo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona BAN haiishi wala haikaribii kuisha nikaona isiwe tabu
Ban hufunza heshima na adabu kwa wengineDaahh!! Moderator wa Jf wapo makini sana wakati najiunga na Jf nilikuwa sijui sharia vizuri so kuna sheria nilikuwa nazivunja mwisho wa siku nakumbuka nilishawahi kupewa BAN kama Mara tatu hivi...
Daaah!! Baada yakupewa BAN Mara zote hizo ikabidi niwe mpole....
Kama ushawahi kupewa BAN usipite bila kulike...
Umepita bila kulike mkuumi nshakula kama nne
Wewe mwandiko wako kama jolie jolie..ikifungua id nyingine nakujua siku hiyo hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani huyo jamaa ni kiazi mviringo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeisaliti kivipi mkuu?We Jamaa kwahiyo umeisaliti Chelsea yetu sababu ya Hazard tu [emoji57]