WAZEE WA KUCHEZEA BAN KWA MODERATER

WAZEE WA KUCHEZEA BAN KWA MODERATER

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,458
Reaction score
1,432
Daahh!! Moderator wa Jf wapo makini sana wakati najiunga na Jf nilikuwa sijui sharia vizuri so kuna sheria nilikuwa nazivunja mwisho wa siku nakumbuka nilishawahi kupewa BAN kama Mara tatu hivi...
Daaah!! Baada yakupewa BAN Mara zote hizo ikabidi niwe mpole....

Kama ushawahi kupewa BAN usipite bila kulike...
 
Sisi ambao hatuwezi miliki I'd zaidi ya moja tukipigwa ban tunapata shida sana
 
Daahh!! Moderator wa Jf wapo makini sana wakati najiunga na Jf nilikuwa sijui sharia vizuri so kuna sheria nilikuwa nazivunja mwisho wa siku nakumbuka nilishawahi kupewa BAN kama Mara tatu hivi...
Daaah!! Baada yakupewa BAN Mara zote hizo ikabidi niwe mpole....

Kama ushawahi kupewa BAN usipite bila kulike...
Ban hufunza heshima na adabu kwa wengine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani huyo jamaa ni kiazi mviringo
Wewe mwandiko wako kama jolie jolie..ikifungua id nyingine nakujua siku hiyo hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mjinga 1 alinipa BAN 2015 OCT 25 kisa nilimwambia walituhujumu hadi tukapotea hewani
 
Kweli Binadamu ni viumbe vibishi sana, Moderators wanajitahidi kudhibiti ujinga kwaajili ya maadili mazuri lakini Mawatu yanajizatiti kwa kuwa na ID feki 10[emoji3]
 
Back
Top Bottom