Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣

Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh:

Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi, bado kunaonesha ukungu, ngoma nzito😂
 
Back
Top Bottom