Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Mar 8, 2025 #1 Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?ππ€£π€£ Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi, bado kunaonesha ukungu, ngoma nzitoπ
Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?ππ€£π€£ Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi, bado kunaonesha ukungu, ngoma nzitoπ