Wazee wa kustream NBC Premier League hatimae tumefikiwa

Wazee wa kustream NBC Premier League hatimae tumefikiwa

Ndo shida ya hivi site za uchochoroni. Hapa mimi kuna virus kwenye PC wametafuna window defender yote now haifanyi kazi. Pia kuna programs kadhaa nimecorrupt zimeacha kufanya kazi sijui nawatoaje...
Tumia Malwarebytes mkuu itakaa sawa ukimaliza scan na Windows security yako mashine itakaa sawa
 
Hawafiki huko mkuu usiogope hao rahisi sana kutoka ukimaliza kuscan we restart mashine itakaa sawa
Mi yalinikuta miezi kadhaa nyuma, walipita google account moja na vitega uchumi vyake vyote 😀. Nilifanikiwa kuirejesha ila kwa mbinde sana... Na kilichonipoza na game la Euro truck..
 
Tumia Azam max mkuu hao bado na hiyo site tutaendelea kuiban itakapoendelea kuweka mechi za ligi kuu wakiwa wabishi tutafunga hiyo site yenyewe
Hahah. Ila mbona nimeambiwa Azam kuna movie na series wanaiba huko nje wanakuja kuonyesha huku kimagumashi. Binafsi siamini kama wanaweza fanya hilo ila nimeambiwa na watu.

Wanasema ukila kubali na wewe uliwe.
 
Sisi tuna Haki nazo izo series tunanunua Haki miliki sisi sio wezi
 
Sisi tuna Haki nazo izo series tunanunua Haki miliki sisi sio wezi
Ila niliambiwa na watu wenye uwezo wa kujua mambo ya ndani. Tena wakasema hata baadhi ya ligi zinaonyeshwa kimagumashi. Sikuwaamini maana katika dunia hii ya utandawazi, risk ni kubwa.
 
Back
Top Bottom