Wazee wa kustream NBC Premier League hatimae tumefikiwa

Nilivyowabishia wakasema ni vigumu wahusika wafuatilie na wakomae na kitivii kisichojulikana kilichopo nchi isiyojulikana. Wanatoa leseni nyingi kujali sana vihasara vidogo vidogo kama hivi.
Wabongo mnaichukulia Azam tv simpo kwa sababu mpo nayo nchi moja na wanaonyesha hizi vitamthilia vyenu ila Azam tv n kubwa mno zaidi ya unavyofikiria ww.
 
TV Sio rahisi kurusha kitu bila kibali, Azam sio online tv

Wabongo mnaichukulia Azam tv simpo kwa sababu mpo nayo nchi moja na wanaonyesha hizi vitamthilia vyenu ila Azam tv n kubwa mno zaidi ya unavyofikiria ww.
Mbona kama online ndiyo ngumu zaidi maana mfumo wa ufuatiliaji ni rahisi zaidi.

Sikukubaliana na nilichoambiwa kwa sababu hiyo hiyo unayosema kuwa Azam ni kubwa kiasi cha kuchukua risk ya namna hiyo ila uwezi jua. Kama kona inaruhusu kukata, watu wanakata tu.
 
Hapo kwenye online tv nasemea online tv za kibongo mana karibu zote hazina utaratibu mzuri
 
Haiwezekani mtaua ligi kuu ngoja nikawasagie kunguni huu uzi ufike Azamu
1000017961.jpg
 
Nchi hii bado changa, kulitakiwa kuwe na chocho kama hizi hata 10. Vijana wa IT changamkeni, tumieni server za kwa Putin kule watawakamatia wapi?
 
Back
Top Bottom