Wazee wa kutuliza ghasia

Wazee wa kutuliza ghasia

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
19,913
Screenshot_20210402-130532_1617358060504.jpg

Huku nje huwezi elewa mziki wao. Ila ukiwa ndani, ndichi, lupango segedance ndo utawafahamu vizuri hawa😂😂
 
Wafungwa wakianzisha varangati KM hua hawaingii gerezani kwa kutumia milango, wanaingia kwa kuruka ukuta, paaap wamejaa kila kona. Wafungwa na ukauzu wao wote wakiwaona vidume huwa wanakimbilia kulala chini kama ishara ya kuomba AMANI.

Wanatembeza kichapo si cha kitoto, FFU wamesingiziwa kwa hao viumbe. Wakizama gerezani mpaka kunguni na mbu wanaogopa!!! Wanajua hii ishakuwa sooo!!!
 
Ukitaka kuwajua hao wakata kinyesi.siku ukiwa lupango,anza kudekadeka,ikipigwa filimbi kama umepumzika chini ya mti jela anza kwanza kujinyoosha nyoosha alafu ndo uende kupanga mstari.
Ndo utajua kwanini maharage ikifika mwezi mtukufu yanaitwa mftari.
 
Back
Top Bottom