Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
KabisaWafungwa wakianzisha varangati KM hua hawaingii gerezani kwa kutumia milango, wanaingia kwa kuruka ukuta, paaap wamejaa kila kona. Wafungwa na ukauzu wao wote wakiwaona vidume huwa wanakimbilia kulala chini kama ishara ya kuomba AMANI.
Wanatembeza kichapo si cha kitoto, FFU wamesingiziwa kwa hao viumbe. Wakizama gerezani mpaka kunguni na mbu wanaogopa!!! Wanajua hii ishakuwa sooo!!!