Wazee wa kutuliza ghasia

Wazee wa kutuliza ghasia

Licha ya sifa zoooote za kibandidu mlizozitoa kuhusu hao jamaa lkn bado wanalia lia na ya kutolea wanatuma, mungu kawaumba na nin sijui wanawake.
Hahahaaa wanawake ndo majambazi wakuu wa dunia kila mtu anatulizwa

Mtu aliongea na nyoka, serious NYOKA hahahaha
 
Jamaa hao noma

Ova
Hawafai

Kuna siku wajela jela waligoma kula mpaka waonane na mkuu wa mkoa. Kulikua na malalamiko flani hivi na ukitaka kula wanaluchenjia wenzako mle ndani so wote ni mgomo. Siku ya kwanza siku ya pili

Siku ya 3 mkuu wa mkoa hajaja bado.
Basi mkuu wa gereza kaomba hizi njemba walikua kama 8 hivi wameshavaa hivyo wakasimama mlangoni wanapiga virungu kwenye ngao zao tu na miguu chini kama dk 10 kabla hawajaanza kazi. Ma wengine wako kwenye ukuta hahahaaa kila mtu alienda foleni ya msosi. RC alikuja jioni yake lakini kusikiliza malalamiko(Sijataja Gereza makusudi,na pia sijasema nilikua mfungwa/mahabusu😂😂. But I was there to see the whole ordeal)

Pasaka njema
 
Kumbe waoga hivyo 😂 yaani ufanye mgomo wa kula kisha ukiona ffu, ati ukubali kula. Kwani watawaua mkikosa kula. Hunger strike kama umeamua umeamua, ngumu ngumu, uoga mbaya sana 😂 😂 😂
 
Basi mkuu wa gereza kaomba hizi njemba walikua kama 8 hivi wameshavaa hivyo wakasimama mlangoni wanapiga virungu kwenye ngao zao tu na miguu chini kama dk 10 kabla hawajaanza kazi. Ma wengine wako kwenye ukuta hahahaaa kila mtu alienda foleni ya msosi. RC alikuja jioni yake lakini kusikiliza malalamiko(Sijataja Gereza makusudi,na pia sijasema nilikua mfungwa/mahabusu[emoji23][emoji23]. But I was there to see the whole ordeal)

Pasaka njema
Na haujasema km ulikua askar
 
Kumbe waoga hivyo 😂 yaani ufanye mgomo wa kula kisha ukiona ffu, ati ukubali kula. Kwani watawaua mkikosa kula. Hunger strike kama umeamua umeamua, ngumu ngumu, uoga mbaya sana 😂 😂 😂
Sio FFU mkuu. Ndomaana nililalamika mods kubadili heading ya huu Uzi. Mie niliandika "Wazee wa KM" na ndo wanavyoitwa ni KM kifupi cha KMGM hawa sio FFU
 
Licha ya sifa zoooote za kibandidu mlizozitoa kuhusu hao jamaa lkn bado wanalia lia na ya kutolea wanatuma, mungu kawaumba na nin sijui wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-ha
 
Back
Top Bottom