Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Wigo ukizidi.Beleshi la nini sasa. Ujinga mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wigo ukizidi.Beleshi la nini sasa. Ujinga mtupu.
Hua hawaingii gerezani kwa kutumia milango, wanaingia kwa kuruka ukuta. Wafungwa wanawajua mziki wao wa kichapo.
Hahahaaa wanawake ndo majambazi wakuu wa dunia kila mtu anatulizwaLicha ya sifa zoooote za kibandidu mlizozitoa kuhusu hao jamaa lkn bado wanalia lia na ya kutolea wanatuma, mungu kawaumba na nin sijui wanawake.
HawafaiJamaa hao noma
Ova
😂 😂 😂Hahahaaa wanawake ndo majambazi wakuu wa dunia kila mtu anatulizwa
Mtu aliongea na nyoka, serious NYOKA hahahaha
Kumbe waoga hivyo 😂 yaani ufanye mgomo wa kula kisha ukiona ffu, ati ukubali kula. Kwani watawaua mkikosa kula. Hunger strike kama umeamua umeamua, ngumu ngumu, uoga mbaya sana 😂 😂 😂Hawafai
Kuna siku wajela jela waligoma kula mpaka waonane na mkuu wa mkoa. Kulikua na malalamiko flani hivi na ukitaka kula wanaluchenjia wenzako mle ndani so wote ni mgomo. Siku ya kwanza siku ya pili
Siku ya 3 mkuu wa mkoa hajaja bado.
Basi mkuu wa gereza kaomba hizi njemba walikua kama 8 hivi wameshavaa hivyo wakasimama mlangoni wanapiga virungu kwenye ngao zao tu na miguu chini kama dk 10 kabla hawajaanza kazi. Ma wengine wako kwenye ukuta hahahaaa kila mtu alienda foleni ya msosi. RC alikuja jioni yake lakini kusikiliza malalamiko(Sijataja Gereza makusudi,na pia sijasema nilikua mfungwa/mahabusu😂😂. But I was there to see the whole ordeal)
Pasaka njema
Na haujasema km ulikua askarHawafai
Kuna siku wajela jela waligoma kula mpaka waonane na mkuu wa mkoa. Kulikua na malalamiko flani hivi na ukitaka kula wanaluchenjia wenzako mle ndani so wote ni mgomo. Siku ya kwanza siku ya pili
Siku ya 3 mkuu wa mkoa hajaja bado.
Basi mkuu wa gereza kaomba hizi njemba walikua kama 8 hivi wameshavaa hivyo wakasimama mlangoni wanapiga virungu kwenye ngao zao tu na miguu chini kama dk 10 kabla hawajaanza kazi. Ma wengine wako kwenye ukuta hahahaaa kila mtu alienda foleni ya msosi. RC alikuja jioni yake lakini kusikiliza malalamiko(Sijataja Gereza makusudi,na pia sijasema nilikua mfungwa/mahabusu[emoji23][emoji23]. But I was there to see the whole ordeal)
Pasaka njema
Hawa wanaua watu Kisha huwafukia kwa hiyo chepeHilo jibegi la nini sasa
Sio FFU mkuu. Ndomaana nililalamika mods kubadili heading ya huu Uzi. Mie niliandika "Wazee wa KM" na ndo wanavyoitwa ni KM kifupi cha KMGM hawa sio FFUKumbe waoga hivyo 😂 yaani ufanye mgomo wa kula kisha ukiona ffu, ati ukubali kula. Kwani watawaua mkikosa kula. Hunger strike kama umeamua umeamua, ngumu ngumu, uoga mbaya sana 😂 😂 😂
Umepita njia ndani ya gerez lenye mgomo wa kula wafungwaHahahaaa mpita njia
Kawaida yeyote ukiwa kwenye himaya yake na vitendea kazi anavyo lazima akukalisheView attachment 1741154
Huku nje huwezi elewa mziki wao. Ila ukiwa ndani, ndichi, lupango segedance ndo utawafahamu vizuri hawa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-haLicha ya sifa zoooote za kibandidu mlizozitoa kuhusu hao jamaa lkn bado wanalia lia na ya kutolea wanatuma, mungu kawaumba na nin sijui wanawake.
Hapana mkuu wengine tulisimliwatu.Nlichogundua Hii post wachangiaji wengi ni waliowahi kuwa wafungwa
Hao ni mbwa wa Serikali ambao jiwe alijivunia.View attachment 1741154
Huku nje huwezi elewa mziki wao. Ila ukiwa ndani, ndichi, lupango segedance ndo utawafahamu vizuri hawa[emoji23][emoji23]