Wazee wa magari mtandaoni hasa hasa BEFOWARD


Hakuna jipya ni ushamba tu ndo unakusumbua, hizo ndo bei zake! Mpaka Dar na kodi bei ni kubwa kama kawaida!
 
Hii principle ndio ikanifanya nitafute magari ambayo kabla watu kuyashobokea mfano ist, rumion n.k bei bado bado..

Ndio nikakuta bei hizo lakini kabla ya yote lazima tuulizane ili kuongeza chochote kitu kichwani.
Bongo ni mkumbo nothing special about those cars. Mfano sasa hivi Rumion watu wanafuata mkumbo huko
 
Hakuna jipya ni ushamba tu ndo unakusumbua, hizo ndo bei zake! Mpaka Dar na kodi bei ni kubwa kama kawaida!
Ndugu yangu, mbona umekurupuka na umeandika kama huna KENDE..

Hivi hata nilichokiandika umekielewa kweli, yawezekana mimi nikawa mshamba ila wewe ni MPUMBAVU kaka.

Jifunze kusoma na kuelewa sio kusoma soma tu.
Hiyo axela sport hapo wameandika $340 lakini ukizitafuta nyingine za mwaka huo huo na vigezo vinafanana bei ni karibia $1000 huko, ni hiyo moja tu ndio bei kitonga, na hizo nyingine zoote nilizoweka hapo.

Kosa nini sasa kuja kuuliza ndugu zangu huku, na hata kama ndio zingekuwa ni bei zake ya nini kuongea kama huna PUMBU?

Ungesema "hizo ndio bei zake" ungepungukiwa nini?
 
Mwenyewe mwezi mzima huu nimetafuta Premio F ya 2003/2004 at least chini ya 70,000Km kwa $3000 hakuna huko Beforward.

Nimejaribu kuwasiliana nao Bf Tz wanitumie link kama ninaweza pata gari hii ninayoitaka nao wameikosa labda $3800+ tena siyo nyingi.

Cha ajabu ukipitia pages za waagizaji wa ndani wanaagiza gari hiyo tena utakuta 54,000KM kwa 13M-15M ilhali kwa Beforward hata kwa bei yao hiyo hupati.

Je hawa wenzetu huagiza kutoka mitandao ipi huko Japan?

Je hizo KM zao ni za kuaminika kweli au ni ile michezo ya yard ya kushusha KM?
 
Hizi Km za magari ya showrooms za bongo sio za kuamini wanarudisha nyuma, tena kuna baadhi yao wanaufanya huo mchezo huko huko Dubai.
 

Ushamba bado unakusumbua tu! ni kawaida
 
kuna watu wanaongea na wauzaji wa moja kwa moja kutoka huko Japana
 
Wajuvi naomba mnijuze,hivi beforward unaweza pata gari used chini ya km.50,000?
Maana minaonaga gari nyingi za beforward zimekula km za kutosha!.ilhali showroom za hapa bongo unakuta gari less than 50,000km.
 
Aisee ngoja tu nikapambane na guta langu haya maji ya shingo
 
Wajuvi naomba mnijuze,hivi beforward unaweza pata gari used chini ya km.50,000?
Maana minaonaga gari nyingi za beforward zimekula km za kutosha!.ilhali showroom za hapa bongo unakuta gari less than 50,000km.
Hapa TZ wanashusha hizo mileage. Niliwahi kumpelekea dalali mmoja gari auze, akaniuliza mileage ni ngapi, kama ni kubwa, waishushe kabla haijaingia sokoni. Beforward ukitaka gari yenye mileage hizo basi lazima iwe ya hivi karibuni sana. Kupata gari ya miaka 15-20 iliyopita yenye mileage hiyo....labda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…