Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Unakuta DV Imechakaa kuliko namba CB[emoji3493] magari mabovu balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuta DV Imechakaa kuliko namba CB[emoji3493] magari mabovu balaa
Baada ya kuona wabongo ni km tunaigana katika kuagiza gari, ambayo inapelekea na bei za aina ya hizo gari kupanda maradufu, leo nikasema nipitie befoward, kwenye filter nikachagua gari za chini ya dola buku $1000, matokeo yake yalinistaajabisha kidogo kuna aina za gari nimekuta bei kitola kiasi nimeshangaa
Picha zinasumbua kidogo, tuvumiliane.. Ataeweza atapandish.
Kuna hizi zimenivutia, sasa sijui tatizo nini hasa, au watu wanapandiana dau!?
1. Honda stream(2007)
$340
C&F $1422
2. Mazda axela sport manual transmission(2007)
$340
3. Vw passat variant(2007)
$350
4. Bmw 3 series(2007)
$600
5. Subaru impreza(2010) hii inaonekan iko njiani inakuja bongo.
$580
6. Honda step WGN (2010)
$510
7. Honda civic hybrid(2007)
$530
8. Noah(2005)
$400
9. Toyota mark x Zio(2009)
$640
10. Alphard (2003)
$710
Na nyingine nyingi ambazo sijaziweka hapa, wanasema ni punguzo la chrismas lakini mbona kwa gari chache tu, mfano mazda axela bei hiyo kitonga, ukitafuta nyingine ya mwaka huo huo bei ipo kwenye zaidi ya dola buku.
Bongo ni mkumbo nothing special about those cars. Mfano sasa hivi Rumion watu wanafuata mkumbo hukoHii principle ndio ikanifanya nitafute magari ambayo kabla watu kuyashobokea mfano ist, rumion n.k bei bado bado..
Ndio nikakuta bei hizo lakini kabla ya yote lazima tuulizane ili kuongeza chochote kitu kichwani.
Ndugu yangu, mbona umekurupuka na umeandika kama huna KENDE..Hakuna jipya ni ushamba tu ndo unakusumbua, hizo ndo bei zake! Mpaka Dar na kodi bei ni kubwa kama kawaida!
Zimekuwa km takataka na bei zishapanda maradufu.Bongo ni mkumbo nothing special about those cars. Mfano sasa hivi Rumion watu wanafuata mkumbo huko
Hizi Km za magari ya showrooms za bongo sio za kuamini wanarudisha nyuma, tena kuna baadhi yao wanaufanya huo mchezo huko huko Dubai.Mwenyewe mwezi mzima huu nimetafuta Premio F ya 2003/2004 at least chini ya 70,000Km kwa $3000 hakuna huko Beforward.
Nimejaribu kuwasiliana nao Bf Tz wanitumie link kama ninaweza pata gari hii ninayoitaka nao wameikosa labda $3800+ tena siyo nyingi.
Cha ajabu ukipitia pages za waagizaji wa ndani wanaagiza gari hiyo tena utakuta 54,000KM kwa 13M-15M ilhali kwa Beforward hata kwa bei yao hiyo hupati.
Je hawa wenzetu huagiza kutoka mitandao ipi huko Japan?
Je hizo KM zao ni za kuaminika kweli au ni ile michezo ya yard ya kushusha KM?
Ndugu yangu, mbona umekurupuka na umeandika kama huna KENDE..
Hivi hata nilichokiandika umekielewa kweli, yawezekana mimi nikawa mshamba ila wewe ni MPUMBAVU kaka.
Jifunze kusoma na kuelewa sio kusoma soma tu.
Hiyo axela sport hapo wameandika $340 lakini ukizitafuta nyingine za mwaka huo huo na vigezo vinafanana bei ni karibia $1000 huko, ni hiyo moja tu ndio bei kitonga, na hizo nyingine zoote nilizoweka hapo.
Kosa nini sasa kuja kuuliza ndugu zangu huku, na hata kama ndio zingekuwa ni bei zake ya nini kuongea kama huna PUMBU?
Ungesema "hizo ndio bei zake" ungepungukiwa nini?
Umeshindwa kumwambia kawaida mpka umuite mshamba? Kweli stress za bongo c mchezoHakuna jipya ni ushamba tu ndo unakusumbua, hizo ndo bei zake! Mpaka Dar na kodi bei ni kubwa kama kawaida!
Umeshindwa kumwambia kawaida mpka umuite mshamba? Kweli stress za bongo c mchezo
kuna watu wanaongea na wauzaji wa moja kwa moja kutoka huko JapanaMwenyewe mwezi mzima huu nimetafuta Premio F ya 2003/2004 at least chini ya 70,000Km kwa $3000 hakuna huko Beforward.
Nimejaribu kuwasiliana nao Bf Tz wanitumie link kama ninaweza pata gari hii ninayoitaka nao wameikosa labda $3800+ tena siyo nyingi.
Cha ajabu ukipitia pages za waagizaji wa ndani wanaagiza gari hiyo tena utakuta 54,000KM kwa 13M-15M ilhali kwa Beforward hata kwa bei yao hiyo hupati.
Je hawa wenzetu huagiza kutoka mitandao ipi huko Japan?
Je hizo KM zao ni za kuaminika kweli au ni ile michezo ya yard ya kushusha KM?
Lakini SBT Japan wapo genuine kabisa na bei ya IST hadi Dar ya mwaka 2004 na mileage ni 50,000 KM ni usd 1,350 imagineHizo bei ni mtego bro
Hapa TZ wanashusha hizo mileage. Niliwahi kumpelekea dalali mmoja gari auze, akaniuliza mileage ni ngapi, kama ni kubwa, waishushe kabla haijaingia sokoni. Beforward ukitaka gari yenye mileage hizo basi lazima iwe ya hivi karibuni sana. Kupata gari ya miaka 15-20 iliyopita yenye mileage hiyo....labda!Wajuvi naomba mnijuze,hivi beforward unaweza pata gari used chini ya km.50,000?
Maana minaonaga gari nyingi za beforward zimekula km za kutosha!.ilhali showroom za hapa bongo unakuta gari less than 50,000km.
Mengi mno.Wajuvi naomba mnijuze,hivi beforward unaweza pata gari used chini ya km.50,000?
Maana minaonaga gari nyingi za beforward zimekula km za kutosha!.ilhali showroom za hapa bongo unakuta gari less than 50,000km.
Ahsante pia kwa link.Mengi mno.
Kwenye "sort by" weka "Mileage Low to High" yapo kibaoo tu.
Used 2009 TOYOTA PREMIO 1.5F L PACKAGE/DBA-NZT260 for Sale BH635964 - BE FORWARD