Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ndugu zangu tutafute hela tununue magari mapya!mie nimepanga kama nitakuwa mzima by 2025 lazima nimiliki VXR V8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine ni upumbavu yani gari itengenezwe 2010 halafu hadi Leo 2020 miaka 10 toka iwe road iwe na KM 8000???Mengi mno.
Kwenye "sort by" weka "Mileage Low to High" yapo kibaoo tu.
Used 2009 TOYOTA PREMIO 1.5F L PACKAGE/DBA-NZT260 for Sale BH635964 - BE FORWARD
Bongo ni mkumbo nothing special about those cars. Mfano sasa hivi Rumion watu wanafuata mkumbo huko
Ni kwa wakati huu ambao USD iko juu. Miaka 6 nyuma wakati ule USD 1 ni Tsh 1700, hadi 7mil unaweka gari barabarani. Kuna mtu aliagiza na kuweka Nissan March kwa milioni 4. Hapo kalipa kila kitu. Hizo bei hapo zitakuwa ni FOB tu.Ukikijua kikokotoo Cha TRA kilivyo hauwezi hangaika na hizo Bei hapo. Inshort sijaona bongo gari ya chini ya 9M Hadi liingie road
Chief ni kumvungia tu, akili yake ndio ilipoishia hapo, mtandaoni ni jalalani, kuna timamu, kuna wenye utindio wa ubongo, kuna wenye akili timamu, kuna chenga, wangese wapo, kila namna, na wote hao lazima tuwapokee kwa mikono miwili..Umeshindwa kumwambia kawaida mpka umuite mshamba? Kweli stress za bongo c mchezo
Zipo mkuuUkikijua kikokotoo Cha TRA kilivyo hauwezi hangaika na hizo Bei hapo. Inshort sijaona bongo gari ya chini ya 9M Hadi liingie road
Ukitaka ufanye appeal unaomba gari ipelekwe kwenye bonded ware house huko charge ni $100 kwa mweziHuu utaratibu kwa TRA ni wa toka nyuma, yaani wanakuchapa kodi ya ukweli.
Na ukisema ufanye appeal, gari linakuwa na storage charges zina pileup, maana linakuwa bandarini muda huo (wiki moja ndo muda usio na storage charge). Na appeal zinachukua muda kusort out.
Hayo magari yenye low km hua wameshusha km za hayo magari na ukisema unayanunua hua hawakupi TBS inspection kwenye file la gariMwenyewe mwezi mzima huu nimetafuta Premio F ya 2003/2004 at least chini ya 70,000Km kwa $3000 hakuna huko Beforward.
Nimejaribu kuwasiliana nao Bf Tz wanitumie link kama ninaweza pata gari hii ninayoitaka nao wameikosa labda $3800+ tena siyo nyingi.
Cha ajabu ukipitia pages za waagizaji wa ndani wanaagiza gari hiyo tena utakuta 54,000KM kwa 13M-15M ilhali kwa Beforward hata kwa bei yao hiyo hupati.
Je hawa wenzetu huagiza kutoka mitandao ipi huko Japan?
Je hizo KM zao ni za kuaminika kweli au ni ile michezo ya yard ya kushusha KM?
Mpaka sasa enhance jp ni kiboko yao sema bei zao pia zimechangamkaUnakuta DV Imechakaa kuliko namba C
Ukitaka ufanye appeal unaomba gari ipelekwe kwenye bonded ware house huko charge ni $100 kwa mwezi
Hapana.Habari mkuu
Msaada,
Ukichagua Option ya CIF & Clearing kwenye website ya Beforward
Maana yake gari imejumuisha (CIF, Agency fee & Port charges)?
Unachotakiwa kulipia hapa Tanzania ni KODI YA TRA TU iliyoko kwenye kikokotoo(System calculator)?
Msaada Tafadhali.
Angalia gari za Trust Japana ndio wanaoongoza kwa kua na gari nzuri na safi na bei imesimamaMpaka sasa enhance jp ni kiboko yao sema bei zao pia zimechangamka
Ni kweli hata trust wana gari nzuri piaAngalia gari za Trust Japana ndio wanaoongoza kwa kua na gari nzuri na safi na bei imesimama
Itabidi tuchange change ipatikane pesa ya kwenda studio, tuwaite wagosi wa kaya watunge goma la "tiya ei"Hata ukipewa gari bure kutka japenga ukilileta BONGO lazima TIARAEI Wakupasue.
| Reference Number: | 20213098418 |
| Make: | TOYOTA |
| Model: | IST - NCP 60/61/65 |
| Body Type: | HATCHBACK |
| Year of Manufacture: | 2003 |
| Country: | JAPAN |
| Fuel Type: | PETROL |
| Engine Capacity: | 1001 - 1500 CC |
| Customs Value CIF (USD): | 2,360.33 |
| Import Duty (USD): | 590.08 |
| Excise Duty (USD): | 147.52 |
| Excise Duty due to Age (USD): | 885.13 |
| VAT (USD): | 760.95 |
| Custom Processing Fee (USD): | 14.16 |
| Railway Dev Levy (USD): | 35.41 |
| Total Import Taxes (USD): | 2,433.25 |
| Total Import Taxes (TSHS): | 5,618,685.08 |
| Vehicle Registration Fee (TSHS): | 450,000.00 |
| TOTAL TAXES (TSHS): | 6,068,685.08 |
Ila inatakiwa uombe mapema kwa kumuandikia kamishna kabla gari haijafikaOoh, sikuwahi kujua kama unaweza kuchagua hii option ya bonded warehouse.
Pia inabidi kuwa na Clearing Agent mwenye uelewa mzuri, wengine wamekariri vitu hata logics hawana.
Kama sahizi kodi sio rafiki tu ila watu wanaendesha DWD huko road je kodi ikiwa million 1 si itakuwa foleni inaanzia getini kwako mpaka postaTatizo serikali zetu sijui nani kapanga makodi makubwa kiasi iko... Gari japan bei kitonga kwetu ni juu...
TRA wapitie tena huu ujinga wao na kuurekebisha