toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
HAYA BWANA NA HAPA UNASEMAJE ?Huna akili na hujui hesabu pole....hapa nimegundua wajinga ambao hawajui hesabu wapo wengi na hawana hoja ila wanaita wanaojua hesabu wenye hoja kuwa hawajui hesabu (wanaamini wako sahihi) na sisi wataalamu ambao tunajitahidi kuwatoa makamasi kwenye ubongo tunawaona wajinga which is true hesabu hawajui
Kwa jinsi ulivyoiandika hivyo;
6÷2(1+a)=9, kwanza lazima ujue huo sio uandishi wa Algebra, juu ya yote ipo hivi:-
Let (1+a)=b---(1)
Hivyo 6÷2(1+a)=6÷2b=9
6÷2b=6÷2×b=9, kumbuka hii haikufuta sheria ya Algebraic representation hivyo kanuni ya BODMAS hapo ita apply, kwahiyo hiyo equation itakuwa katika form hii:-
(6/2)×b=9
6b=18, b=3, but b=(1+a) hivyo a=2✔
WEKA HILO JIBU LAKO LA UWONGO KAMA UTAPATA a=2, usibishane na sisi wazee wa kuintegrate...utakuwa unaona aibu saivi 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣