Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

HAYA BWANA NA HAPA UNASEMAJE ?

Kwa jinsi ulivyoiandika hivyo;

6Γ·2(1+a)=9, kwanza lazima ujue huo sio uandishi wa Algebra, juu ya yote ipo hivi:-

Let (1+a)=b---(1)

Hivyo 6Γ·2(1+a)=6Γ·2b=9

6Γ·2b=6Γ·2Γ—b=9, kumbuka hii haikufuta sheria ya Algebraic representation hivyo kanuni ya BODMAS hapo ita apply, kwahiyo hiyo equation itakuwa katika form hii:-
(6/2)Γ—b=9

6b=18, b=3, but b=(1+a) hivyo a=2βœ”

WEKA HILO JIBU LAKO LA UWONGO KAMA UTAPATA a=2, usibishane na sisi wazee wa kuintegrate...utakuwa unaona aibu saivi 🀣
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
MKUU UNAJICHOSHA BURE HAWA MAPIMBI NI HAWAELEWI
 

Nope
 
Uko sahihi mkuu, sema kuna wale watu kama Crimea ambao wana akili za ki ccm hawawezi kukuelewa wanadai ni 9. Nawaambia kuwa kufungua mabano maana yake umalizane na mabano kwani hakuna operator kati ya 2 na mabano lakini hawaelewi kuwa 2 ni sehemu ya mabano.
 
Mkuu vp kama hiyo 6 inaigawa kwa decimal? Acha kukariri mkuu, chukulia mfano wa 6Γ·0.5678
 
Maelezo yako ni mazuri sana na yanaelimisha, lakini jibu ni 1 na siyo 9
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kilaza anapowaona wenzie ndiyo vilaza, hii dunia hii
 
Ngoja nitulie tu asee, nimeamua kumuambia wote tupo sahihi
 
Mimi nimekaa peleee nashuhudia mtanange
Nasiburi mjadala wa kuziishi hizo namba. Majibu ni kitu kingine.

Mtuelekeze tufanyeje kuziishi zitisaidie ktk huu ulimwengu wa dhiki na kodi kodi zenye majina tofauti.
 
Daah huu uzi sikuuonaga bana kuna watu hawajui mpaka wanaboa na hawataki kuelewa. Kwel ni rahsi kumpa mtu wazo jipya lakini kasheshe ni kuondoa utumbo alonao kichwani.

Jibu sahihi ni 9.
6Γ·2(1+2)
B=mabano
6Γ·2(3). Jamani ee mabano ni mbadala wa alama ya kuzidisha
So 6Γ·2(3)=6Γ·2Γ—3
Ukisema inafuata expression ya 6Γ·6 maana yake umezidisha 2Γ—3 kabla ya kugawanya 6Γ·2 ambapo umekiuka bodmas na ticha wa mathe atakua kashapata kalio lako.
Lazima ugawe kwanza 6Γ·2=3 kisha 3Γ—3=9 au 3(3)=9.
Scientific calculator imetumia magazijuto lakini ipo programmed kutumia /(juu ya) zaidi kuliko Γ·. Kwahyo inatafsiri kwamba umeuliza
6 juu ya 2(2+1) ambapo inajitenga na 2. Katika vitu nlisisitizwa zaidi kwnye hzi calculator ni matumiz ya mabano wakati wa ku fill inputs. Kwenye scientific calculator ili isitafsiri kama nlivyosema hapo juu inabidi uweke mabano iwe (6Γ·2)(1+2). Mtu atasema hoo mbona unajitungia swal unaongeza mabano lakn hapo simu na sci~calculator ztatoa jbu lnalofanana. Kwako studio
 
Hapo sihusiki kutoa maoni maana hii F inanihukumu sana hata kama jibu ninalo
 
Huu mjadala uliishje ila nimeamini bongo kwann CCM haitoki madarakani yahn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…