chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
kampuni tofauti tofauti ila mkeka moja756 yote ukaweka?
Kampuni gani?
Huu mkeka wa leo na kesho uefa champions league ukichanika nina billion mbili na nusu tzs 1m euros, stake ya 20 euros tu maamae.Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo,
Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa...
Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu.
Kilichonisaidia ni consistency na discpline maana yake nisingekua na discpline nilivopata 6M ningeishia hapo bila kufika 700+M japo kunawatu watasema nilifanya ujinga kwa jicho la kawaida.
Hii ni Chai na Uji halafu ina Tangawizi kwa mbali ukila na andazi unakua umeshiba safi kabisaNasubiria wale wanasemaga chai.. Maana mtu na akili zake hata katoto hawezi kufanya ya unayosema yote yote kirahisi hivyo.. Labda iwe jinamizi la ku eti limemvaa mtu..
Bet365.com na betway, unibet, 1×Bet, Beeston.Kampun gani uliweka 756M uongo huo
Chai na UjiHuu mkeka wa leo na kesho uefa champions league ukichanika nina billion mbili na nusu 1m euros, stake ya 20 euros tu maamae.
tafuteni mikate mje mnywe maana chai ishapatikana sasa!Hii sasa chai mkuu
Hoya dogo joker acha porojo zembe jamvini
addiction is real sio uchawi 🤣Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo,
Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa...
Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu.
Kilichonisaidia ni consistency na discpline maana yake nisingekua na discpline nilivopata 6M ningeishia hapo bila kufika 700+M japo kunawatu watasema nilifanya ujinga kwa jicho la kawaida.
Busu la Kenge kunywa Chai na Uji mwambie asikudai hela nakuja kulipaHoya dogo joker acha porojo zembe jamvini