Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo,
Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa...
Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu.
Kilichonisaidia ni consistency na discpline maana yake nisingekua na discpline nilivopata 6M ningeishia hapo bila kufika 700+M japo kunawatu watasema nilifanya ujinga kwa jicho la kawaida.
Kabisa😄😁tafuteni mikate mje mnywe maana chai ishapatikana sasa!
ChaiMimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo,
Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa...
Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu.
Kilichonisaidia ni consistency na discpline maana yake nisingekua na discpline nilivopata 6M ningeishia hapo bila kufika 700+M japo kunawatu watasema nilifanya ujinga kwa jicho la kawaida.
Aisee Kumbe huna hata helaHuu mkeka wa leo na kesho uefa champions league ukichanika nina billion mbili na nusu tzs 1m euros, stake ya 20 euros tu maamae.
View attachment 3555917View attachment 3555918
Pdidy hydroxo
adriz de mbusii
kafanya ni nini kwenye hii mada ya kubet? Hebu wafafanulie wewe uliomzima wakuelewe.Nilishasema huyu awahishwe mirembe MONEY IS NOT EVERYTHING
Hii ni komoni mkuuHii sasa sio chai ni uji lishe