Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Baadhi ya wazee wa mji wa Nzega Mkoani Tabora wameeleza namna walivyoshangazwa na maendeleo yaliyofanya na mgombea urais kupitia CCM Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha uongozi wake uliogusa kila sekta ikiwemo ujenzi wa madarasa,upatikanaji wa maji safi na salama kwa bei nafuu, hospitali, michezo, mama.lishe na ahadi yao ni kumpa tiki Oktoba 29, 2025 afanye mengi zaidi.