Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IN THE HIGH COURT OF TANZANIA (DAR ES SALAAM DISTRICT REGISTRY) AT DAR ES SALAAM CIVIL APPEAL NO 39 OF 2018 (From the Civil Case No 198 of 2014 RMs Court for Dar es Salaam at Kisutu) HASSAN RASHID........................................................APPELLANT VERSUS NATIONAL INSURANCE CORPORATION OF TANZANIA..........................................................RESPONDENT JUDGMENT MASABO 3, L This is an appeal emanating from Civil Case No 198 of 2014 in the Resident Magistrate Court of Dar es Salaam at Kisutu. In this suit the appellant Hassan Rashid sued the respondent for a sum of Tshs 100,000,000/= being compensation in respect of loss of his wife and daughter Mariam Magori and Lulu Hassan respectively who sustained death a result of an accident occasioned by a Motor Vehicle with registration number TZH 6416 driven by one Dickson Msoffe which was at the material time insured by the Respondent. The driver was charged and found guilty of traffic offence whereupon the Appellant institutes civil claims against the Respondent. After full trial the court the trial court entered judgment in favour of the defendant, the respondent herein. Disgruntled by the decision the appellant appeals against the judgment and decree on the following grounds.

1st-Usipokuwa na insurance gharama za fidia utalipia mfukoni kwako-In this case jamaa anaclaim 100M kwa insurance Co. ambayo in absence of insurance ingedaiwa kwa mtu binafsi
2nd-Ajali inapotokea,1st part ni dereva,2nd part ni mwenye gari na Third part ni Kampuni ya insurance,sasa inapotokea gari haina bima-Sheria inadeal na dereva na mwenye gari ambaye pia anaweza kuwa mmiliki kwa kuvunja sheria za nchi ikiwemo kutomiliki bima.
3rd-Mahakamani hakunaga habari ya kulipa kidogo kidogo -hayo hutokea pale pande mbili zinapokubaliana kwenye arbitration.
4th-Anayesababisha ajali gari yake inaweza kuwekwa kama collateral mahakamani,ikiwemo na mali zake nyingine zaweza kuunganishwa wakati wa kuomba execution ya hukumu mahakamani kufidia uharibifu
Sawa.
 
Somo jipya hili
 
Kama nimesababishiwa na mwingine-Liability ina shift kwa huyo mwingine aliyesababisha (Bima yake ndiyo itakayo nilipa fullstop). Even if hana bima-Procedures zipo wazi kabisa na ni mbaya zaid kwake.
Secondly-Probability ya mtu kupata ajali hapa Tanzania kwa anayetumia gari yake kwendea ofisini tu ni ndogo kuliko yule anayetumia kwendesha Tax masaa 12 kwa siku. Just a simple mathematics.
Mkuu kuna mazingira mtu anakusababishia ajali na cha kukulipa hana....labda umtoe uhai..

Mimi nilishawahi kugongwa na daadala nyuma, kupambana na dereva ni katoto hakana leseni, daladala halina bima, kumsachi mfukoni ana elfu 50 tu, nikazichukua nikaenda kutengeneza gari kwa 250,000/....ila niliachana nae kiroho safi kwa sabau maisha ya barabarani bado yanaendelea......Sasa mtu kama huyo ningesema tuaze mambo ya polisi, ingekuwaje unadhani..?

Tanzania ibaki tu hivi hivi..
 
Power​

"The faster and more powerful your car is, the more likely it is to be involved in an expensive accident. So generally, the larger your engine, the higher the insurance costs"
Hizi insurance tunazolipa gharama zake zimekokotolewa kwa kuangalia mambo mengi mnooo ambayo watu wengi hatujui.Binafsi nilishawahi kukosea kukanyaga accelerator badala ya brake kwenye IST ya mtu lakini nikabahatika kuepuka damage kubwa kwa kurudisha mguu kwenye brake.
My friend alikosea kama mm akapasua show ya brevis pale mbele.Room of error ya gari yenye cc kubwa na horse power kubwa ni ndogo mnooo.-Una press kidogo na impact unaiona hapo hapo bila kuchelewa.
Mkuu hizi ni theories za Ulaya, Canada na USA...

Kibongo bongo ajali nje nje ukishakuwa ni mtu wa barabarani kila saa haijalishi unaendesha PASSO AU NISSAN FUGA..

Mashimo barabarani, punda anakatiza barabara, bodaboda, mikokoteni, mabasi yapo rafu sana, malori,...mara mvua inyeshe barabara zikatike...
Mikokoteni barabarani, Walevi wanaendesha barabarani, magari mabovu kibao ambayo muda wowote yanakusababishia ajali..... Western countries hawana haya mambo kama sisi..

Ulaya,USA, Canada uendeshaji wake hauwezi kufanana na bongo hata kidogo..
 
Kwa niaba ya mleta Uzi
Niwapongeze wachangiaji wote hasa wale waliojikita zaidi kwenye vitu vya kujengana na kuelimishana na kuburudishana pia..

Uzi hauna hata mwezi lakini coments tayari zipo 2k...Uzi wa tarehe 15/12/2020..

Ni moja ya uzi kwa upande wa JF garage unaosisimua na kukimbia sana..

Tuchangie bila kugombana..
 
Tanzania kuna maigizo ya Bima mkuu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ,Gari inapata ajali alafu huo usumbufu wake utadhania ulikuwa unapewa bure-Policy za insurance karibia zote duniani zinafanana ila treatment ni tofauti kabisa kati ya nchi na nchi.Kwanza ilibid gari ikipata ajali insurance co. ikutafutie gari nyingine inayofanana kihadhi na gari yako utumie kukamilisha shughuli zako mpaka claim yako itakapokuwa settled.Comprehensive Tanzania kiufupi ni overrated.
Makampuni ya bima unakomaa nao wanakulipa.

Kuna gari iligongwa na canter tena ikiwa mpya kabisa. Uzuri wa hilo canter lilikuwa na bima third party.

Ila ile kampuni ya bima ikataka kukwepa, ila walikomaliwa mpaka wakatengeneza gari.

Hawa usiwalazie damu.
 
Kwa niaba ya mleta Uzi
Niwapongeze wachangiaji wote hasa wale waliojikita zaidi kwenye vitu vya kujengana na kuelimishana na kuburudishana pia..

Uzi hauna hata mwezi lakini coments tayari zipo 2k...Uzi wa tarehe 15/12/2020..

Ni moja ya uzi kwa upande wa JF garage unaosisimua na kukimbia sana..

Tuchangie bila kugombana..
Na mimi niwashukuru wachangiaji wote kwa kuuendeleza.
 
Mkuu hizi ni theories za Ulaya, Canada na USA...

Kibongo bongo ajali nje nje ukishakuwa ni mtu wa barabarani kila saa haijalishi unaendesha PASSO AU NISSAN FUGA..

Mashimo barabarani, punda anakatiza barabara, bodaboda, mikokoteni, mabasi yapo rafu sana, malori,...mara mvua inyeshe barabara zikatike...
Mikokoteni barabarani, Walevi wanaendesha barabarani, magari mabovu kibao ambayo muda wowote yanakusababishia ajali..... Western countries hawana haya mambo kama sisi..

Ulaya,USA, Canada uendeshaji wake hauwezi kufanana na bongo hata kidogo..
Ha ha ha kuna uzi kwanini magari bongo yanachakaa haraka...ukijua kuna hayo uliyoyataja utajua kwanini gari hazichukui round zinachakaa.
 
Jamaa wana maigizo sana. Kiufupi ilibid mtu ukiwa na comprehensive ajali ikitokea unakuwa huna pressure,una wasiliana na dealer wako anashughulikia vitu vyote ikiwemo wewe binafsi unarudije nyumbani au kwenda ofisini au hospitali and what ever kwa gharama zake.Let's say umepata ajali na VX,dealer US atakutafutia gari equivalent na VX ili usione difference yoyote.Kiufupi Comprehensive inatakiwa kuwa stress free.
Hata traffic wanafanya makosa sana wanapokuja kupima ajali.

Wengi wanakwambia mmalizane kiuhalisia ni kazi ya bima.

Mimi nikikwangua mtu, bima italipa. Siumizi kichwa.
 
Hahah ndio maana saa nyingine kuna tofauti ndogo sana kati ya Insurance vs Gambling maana kuna figisu figisu nyingi sana kwny mambo ya bima mkuu.

Kuna kipindi niliona itv mkutano wa Wenye insurance Co. In Africa ulifanyikia Dar mgeni rasmi nakumbuka alikua mh. Pinda wkt anasoma hotuba yake akasema Insurance industry zina ukwasi mkubwa/liquidity kuliko Bank Industry,hapo ndipo point yako unaposema majamaa hawahangaiki hata kujitangaza kihivyo wanapata pesa mingu sana.

Fikiria kwa mfano rahisi:kuna Mabus Comprehensive insurance wanalipa kati ya Tsh. 29mil mpk 32mil,sasa jiulize kwa mfano hizi ndege zote za AirTanzania zinawalipa pesa ngapi hawa jamaa wa insurance?Hapo ndipo unajua haya majamaa yanapata pesa mingi sana.
Kuna ukubwa wa makampuni yanaruhusiwa kukata bima za ndege.

Bima za ndege zote nadhani zinakatiwa bima UK au SA.

Kibongo bongo hakuna kampuni yenye uwezo wa kukata bima za vyombo hivyo.
 
Bora yako Mkuu unaweza kuta upo T 000 DVZ
mm nililimwa cheti Tshs 30 kwa kukosa reflector ya pili kwani ilikuwa haisimami wima ikisimikwa lichwa ya kuwapa ki10
nimeshalimwa 30 ingine hiyo double road kwanini sikusimama zebra nikawaita wapita njia wavuke, m bado nipo namba T 000 AAA wameshajua ni bovu
Zebra zebra .. fine yake huwa inauma kinoma 😃😃😃 nilishapigwa mkeka wa zebra roho iliuma kishenzi .. alafu trafic mwehu tu maana hakukuwa na watu, ila nilipo mkazia akanilima
 
Kwa niaba ya mleta Uzi
Niwapongeze wachangiaji wote hasa wale waliojikita zaidi kwenye vitu vya kujengana na kuelimishana na kuburudishana pia..

Uzi hauna hata mwezi lakini coments tayari zipo 2k...Uzi wa tarehe 15/12/2020..

Ni moja ya uzi kwa upande wa JF garage unaosisimua na kukimbia sana..

Tuchangie bila kugombana..
Evolving thread.

Insurance, Road Trip, Services, Garages, Rants.

No specific topic.

I like this thread.
 
Back
Top Bottom