kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Atakuwa anavunja sheria mara kwa mara, inabidi tufunge na kuomba aiseeJamaa akirudi online nataka nimuulize huwa anafanya nini cha ajabu hadi anapigwa sana ban!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa anavunja sheria mara kwa mara, inabidi tufunge na kuomba aiseeJamaa akirudi online nataka nimuulize huwa anafanya nini cha ajabu hadi anapigwa sana ban!
Ana matusi huyo ukichochora anga zake 😂Jamaa akirudi online nataka nimuulize huwa anafanya nini cha ajabu hadi anapigwa sana ban!
Twendeee basiNaomba lift
Twendeee basi
mpitie Rrondo niwakute stand hapo 🏃♂️Na mimi🥹
😂😂😂gari tu ndio wanipelekesha hivimpitie Rrondo niwakute stand hapo 🏃♂️
Unanikataliaje na huna plan B 😂😂😂😂gari tu ndio wanipelekesha hivi
Ila me ni nani nikukatalie boss wangu😂
Niko tayari boss wangu😌Unanikataliaje na huna plan B 😂
Amepona kweli looohSimiyu hiyo,mark X janaView attachment 2519879
Hakijatoka kitu hapoAmepona kweli loooh
Duuh RIPHakijatoka kitu hapo
Duh huo uharibifu lazima chombo ilikuwa mwendo mkali sanaSimiyu hiyo,mark X janaView attachment 2519879
Mark X full kipupwe, full mziki... Driver not very much experiencedDuh huo uharibifu lazima chombo ilikuwa mwendo mkali sana
Mwendo kasi haujawahi kuwa salama wakuu....tunawaacha wanaotutegemea kwenye ma,ingira magumu sana.Mark X full kipupwe, full mziki... Driver not very much experienced