Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

upo sahihi, Rwanda unaweza tembea umbali wa dar-chalinze kwa 50kph....
Mkuu, madereva kutoka mataifa jirani hakuna sehemu wanaenjoy kama wakiwa Tz..

Hakuna anae wabana, hawasimamishwi hovyo hovyo, yaani wako free sana!

Sasa wewe nenda kwenye nchi zao uone moto! Unawindwa masaa yote ukosee kidogo tu wapite nawewe..
 
Niimetoka Tanga Hadi horohoro sijasimamishwa hata mara moja,ila baada ya kuvuka border kuingia upande wa Kenya kuna barrier kibao ila wanauliza comesa insurance tu ukowaonesha wanakuacha uende, wengine wanakwambia waziwazi uwaachie hela ya sikukuu.
 
Nakubali mkuu!
Kikubwa tuishi kwa kufuata taratibu za mahali husika..
 
IMG_4644.jpg
 
Mkuu, madereva kutoka mataifa jirani hakuna sehemu wanaenjoy kama wakiwa Tz..

Hakuna anae wabana, hawasimamishwi hovyo hovyo, yaani wako free sana!

Sasa wewe nenda kwenye nchi zao uone moto! Unawindwa masaa yote ukosee kidogo tu wapite nawewe..
Zambia ndio hakuna mtu wa kukubana wala hamna touch za kuviziana kama huku kwetu tuseme tu ukweli
 
Nyie Ndiyo mnafanya rasta na matuta yajae barabarani!

Kwanini huwezi kuendesha chini ya 50kmph? Unafikiri walioweka speed limit wanavichaa?

Jitahidi kufuata sheria za mahali husika..

50km/hrs ndani ya freeways/highways ni ujima, magari yasingewekewa speed meter ya 180 kama speed limit ni 50km,huyu aliyewageuza watu mazuzu alaaniwe, jibia hili nini ni max speed ya magari k?wenye highways zetu
 
Back
Top Bottom