Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?


Birds of a feather flock together.

Convoy ya maana sana hiyo, ningeiona inge make my day.

Hivi hizi ndude ndio zinaitwa Dungujeshi?
 
Hivi niulize, nini kinasababisha mileage kutofautiana in KMs kwa umbali sawia.
Mf. Gari ni premio na IST, wote wanatoka Moshi kuja Tanga.
Premio afike na mileage 200, na IST afike na mileage 130.

Mwenye mileage isiyo make sense amefunga tairi au rim zenye diameter isiyo sahihi kwa gari husika.

Gari inahesabu mileage na speed kwa rotation ya tairi kwa diameter aliyosema manufacturer. Kama tairi ikiwa kubww au ndogo ile hesabu inaharibika, gari inahesabu mizunguko mingi zaidi au michache zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…