Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hata sikumuelewa, nilimkuta kipande kile cha Mombo Same na mwendo anaoenda ikabidi niende nae ila haeleweki up and down. Kapiga hazard hadi nimemuacha maeneo ya Mwanga nikapotea.
Ulipoamua kupotea ilibidi niwe mpole na njia kipande kile haieleweki
Anatembelea double hazard in a way that does not make sense. Hana spidi ya kutisha wala hana breakdown kwamba anatembea taratibu. Ile hazard ilikuwa inanikera sana sijui wewe uliyefuatana naye muda mrefu uliwezaje
 
Au alikuwa vyombo?

Kulikuwa na Lexus LX560 na Rav 4 newer model mbele. Ulizifikia?
Mwendo wangu ndio huo 130-140 labda mtu atokee anipe mzuka ndio navuka 150 ila kusimamia kucha kama wewe 160+ siwezi.
Kuna muda nimepush hadi 160 sikupati. Mpaka kuwe na malori yakusimamishe ndio nasogea
 
Niliikuta RAV4 kama za serikali hizi mpya nyuma ya hiyo Lexus. Nilipowapita RAV4 akaunga na mimi mpaka Njia panda nikaingia sheli.

Nadhani ulipita wakati niko sheli kwasababu after that sikuvuka tena 100kmph.
Sijaiona hio hata wewe sikukufikia tena, nilipokunja njia panda na mimi nilishuka mwendo wa mtaani
 
Mwendo wangu ndio huo 130-140 labda mtu atokee anipe mzuka ndio navuka 150 ila kusimamia kucha kama wewe 160+ siwezi.
Kuna muda nimepush hadi 160 sikupati. Mpaka kuwe na malori yakusimamishe ndio nasogea

Jana tu ilikuwa special case ila mwendo uliokuwa nao ndio mwendo wangu wa siku zote kuanzia niache mambo ya mambio in [mention]Saint Anne [/mention] voice
 
Chombo nimeanza nayo 0 klm
02/02/2023 bd naendeleza kilometres zisome zaidi[emoji847]
IMG_20230225_102623.jpg
 
Wenye hela hawanaga haraka [emoji23][emoji23]
Sasa kuna convoy jana uliikosa kidogo. Walinipita maeneo ya mkata, nikawakuta wamesimama Kabuku nikapita wakanikuta Korogwe na refill na wao pia.
Mzee kuna 3 RR sporty 2018-20, Kuna RR autobiography mbili 2018-20 kuna mzee wa kazi LC300 moja na LC200 vxr late model mbili. Vijana wadogo sana. Wanakimbia balaa na ving'ora vya mchongo
 
Bila hivyo ningesinzia mkuu. Nilikuwa naziona dalili zote. Mwanzoni nilihisi ni wewe uliponipigia taa na kugoma kunipita ndio maana nikaslow niende na wewe.

Nikaanza kuona maruwe ruwe mwendo wenu wa kifaza sana ikabidi niwe active kuondoa usingizi.
Kwamba RRONDO alikuwa anaenda mwendo wa kifaza 😂
 
Back
Top Bottom