Sasa mtafanyaje na ni mradi wa vehicle kupiga hela. 🤣Magufuli alifuta ujinga huu sasa wamerudisha tena na sisi tumekubali
Shacman ndio kidogo katika gari za mchina haziumizi na bei yake imechangamka yaani tunaweza kusema ndio Scania au Benz kwa mchinaSHACMAN, hivi hili Lorry lina maajabu gani compared to Howo na Faw za mchina?
Hahahahahah kwahio ukiendesha hio ni kama Actros tu.Shacman ndio kidogo katika gari za mchina haziumizi na bei yake imechangamka yaani tunaweza kusema ndio Scania au Benz kwa mchina
makini sana
Alphard tu hiyo chief.Hii iko kwenye body gani mbona gari kali sana ndani? [emoji1787]
Ni zaidi ya actrosHa
Hahahahahah kwahio ukiendesha hio ni kama Actros tu.
Mkuu shacman iweke kundi moja na Mercedes-Benz powerliner SK!Ha
Hahahahahah kwahio ukiendesha hio ni kama Actros tu.
4L ni 1GR boss!Ni prado ya 1GD 4000cc sio zile za 2700cc hio.
Eeh 1GR is correct i've mistaken it
Eeh hiyo ndio mkuu wachina wanajipendeleaNi prado ya 1GD 4000cc sio zile za 2700cc hio.
Kidogo maana kuna ziko auto mkuuHa
Hahahahahah kwahio ukiendesha hio ni kama Actros tu.
Location, Location, Location Mkuu ?Mizunguko ya miezi mitatu
Mileage imekata mpaka naihurumia View attachment 2554291View attachment 2554292View attachment 2554293
Ni England mkuuLocation, Location, Location Mkuu ?
Na sisi tujipange....