Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hapo sikonge kuna matajiri kama watano wanayo toka enzi za miaka ya tisini,wa kwanza kulileta alikuwa Mzee hemmed Nasoro mmiliki wa sabena bus akifuatiwa na wale waarabu wa kule misheni na nakumbuka hata kituo cha FDC walikuwa nayo
Mkuu unaonekana mwenyeji sana maeneo ya Sikonge😂😂😂
Karibu sana mitaa yetu
 
Kama sikosei, kuna fortuner zina 1GR-fe v6 petrol engine, ni moto [emoji91]

Umenikumbusha, mwezi uliopita nilikutana na Fortuner kwenye stretch moja iliyonyooka, akataka kuweka ligi, nilikuwa na Bike, nikavuta mpaka 220kph, alikaa chini. Kama yupo humu na anakumbuka kukutana na bike maeneo ya kanda ya ziwa, ningefurahi kuchat naye.
 
Niwape heshima wakuu wote wanaopiga trip daily kwenda na kurudi sehemu mbalimbali za nchi yetu. Mwezi uliopita nmepiga trip 3 za 650+km, aisee nilichoka vibaya mno.

Najiandaa tena mwezi wa 8 nitakuwa na trip ya mbeya- arusha- moshi kwenda na kurudi. I hope this time nita enjoy since ni likizo na sio safari za dharura/matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…