Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ha ha kuna mwamba nae alinikata nikiwa na crown afu anakupita smooth yani kama tunavyopishana huku mjini baada ya dk chache akapotea kabisa kwenye upeo wa macho yangu... Ile bike ni BMW sijui model yake piki piki kubwa sana
 
vipuri sio ghalama sana ila kwenye kuinunua ndo balaa hiyo 1200gs ni almost 35 millions tsh used ndo unapata kwenye 25m Hivi

Ukipata brand new kwa 35m usiikimbilie kununua it must have some issues. Brand new before tax and freight ni kuanzia $19500 eguivalrnt to Tzs 45m ukiweka kodi na usafirishaji inakuja kwenye 60m,
Hizo 16-18m zitakuwa zimetembea sana 30000km plus.
 
Bei ya discovery 3 kabisa hiyo au 4 kabisa
 
Kuna pikipiki inaitwa sinoray ina cc 180 ile ngoma kugusa speed 200 ni kawaida kwa sasa ukitoa hizi cc200 na 250 sinoray za kichina zina habari nyingine na ukiziona zina muundo kama wa fekon haojue au kinglion ila ni habari nyingine ndio zinawamaliza watoto wa arusha kwa mambio
 
Ila kwangu Mimi pikipiki hata iwe na speed 500 kama Haina rejeta siwezi kwenda nayo mbali mfano dar/mbeya non stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…