Kwa usalama na uendeshaji mzuri pikipiki zisizo na rejeta hutakiwi kutembea umbali mrefu non stop japo wapo wasio na uelewa wanatembea tuIla kwangu Mimi pikipiki hata iwe na speed 500 kama Haina rejeta siwezi kwenda nayo mbali mfano dar/mbeya non stop.
Kuna pikipiki inaitwa sinoray ina cc 180 ile ngoma kugusa speed 200 ni kawaida kwa sasa ukitoa hizi cc200 na 250 sinoray za kichina zina habari nyingine na ukiziona zina muundo kama wa fekon haojue au kinglion ila ni habari nyingine ndio zinawamaliza watoto wa arusha kwa mambio
Kwa usalama na uendeshaji mzuri pikipiki zisizo na rejeta hutakiwi kutembea umbali mrefu non stop japo wapo wasio na uelewa wanatembea tu
Yes unakuta mtu ana boxer/kibao Cha mbuzi huanhao anataka aende mpaka mwanza non stop Alafu Ina cc 125.Kwa usalama na uendeshaji mzuri pikipiki zisizo na rejeta hutakiwi kutembea umbali mrefu non stop japo wapo wasio na uelewa wanatembea tu
80pkh huinjoi kitu aisee pikipiki Raha yake utembeee.Pikipiki za mjerumani zisizo na radiator, zinapozwa na upepo unatokana na speed. They recommend not to fall below 80pkh
80pkh huinjoi kitu aisee pikipiki Raha yake utembeee.
Umepigia kwa wapi mkuu?View attachment 2655069
Ziwa Victoria
Yes unakuta mtu ana boxer/kibao Cha mbuzi huanhao anataka aende mpaka mwanza non stop Alafu Ina cc 125.
Hatar sana hiyo na yale makelele yanazuzua kabisa vijana hawaelewi ni mwendo tu!Kuna pikipiki inaitwa sinoray ina cc 180 ile ngoma kugusa speed 200 ni kawaida kwa sasa ukitoa hizi cc200 na 250 sinoray za kichina zina habari nyingine na ukiziona zina muundo kama wa fekon haojue au kinglion ila ni habari nyingine ndio zinawamaliza watoto wa arusha kwa mambio
Mkuu naomba nieleweshe athari za kuesha pikipiki isiyo na rejeta maana na mimi ni muhanga wa hio kitu.Kwa usalama na uendeshaji mzuri pikipiki zisizo na rejeta hutakiwi kutembea umbali mrefu non stop japo wapo wasio na uelewa wanatembea tu
Kitu kikubwa ni injini kupata moto na kuua baadhi ya vitu mfano unapotembea sana lazima utaua ringi mkono na muda mwingine block. Kiufupi hakuna usalama ukiendesha chombo kinachopata moto sana hata perfomance ya chombo kinapunguaMkuu naomba nieleweshe athari za kuesha pikipiki isiyo na rejeta maana na mimi ni muhanga wa hio kitu.
Naomba ufafanuzi kidogo... Hiyo hiace ilijaa katikati means ilikaa katikati ya upande wake (hiace) na upande wako wewe na lory.I doubt kama ni kweli.
Nashukuru Mungu I am alive. Leo asubuhi kuna sehemu nilienda wilayani like 150 km from where I live. Nilienda nikafika salama na kufanya mambo yangu.
Wakati narudi kuna sehemu imenyooka kama km 6-8 hivi; nikiwa 210kph nika- overtake lorry Lina container 40feet na mbele kuna hiace inakuja speed. Hiace sijui alikuwa amelewa, akajaa katikati ya barabara. Kilichoendelea nadhani sikuwa mimi, it is God who took the control; again I thank God I am alive.
Naomba ufafanuzi kidogo... Hiyo hiace ilijaa katikati means ilikaa katikati ya upande wake (hiace) na upande wako wewe na lory.
Ikiwa wewe wakati huo una overtake lorry na hiace ikafanya kitendo hiko, vipi wewe ulifanikiwa kuimaliza lorry kwenye overtake?
Vipi mustakbali wa hiace na lorry ulikuwaje baada ya hiace kufanya kitendo kile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo pole sana kaka, lakini pia uwapo barabarani jitahidi kutumia na lugha za ishara kidogo...Ilikuwa upande wa pili halafu, akaileta kwangu baadae akairudisha kwake wakati naelekea kulipita lorry, na kunifanya nipate wakati mgumu kumalizia overtake. Nadhani tulipishana kwa urefu wa futi moja.
Bike ilikuwa na mabegi yake
Asante mkuu kwa maneno yako ya kukumbusha....mimi nishajiwekea hii nidhamu ya kutopita chombo cha moto chochote kile kama sioni mbele kwa ufasaha niko tayari nitembee nyuma ya lorry hata km 2 mpaka 3 ilimradi safari yangu iwe salama tu.Ohoo pole sana kaka, lakini pia uwapo barabarani jitahidi kutumia na lugha za ishara kidogo...
Mfano kabla ya kuli overtake lorry, unaweza kumshitua kwa kumpigia horn ya kuibia kidogo, hii itamfanya dereva lorry akuzingatie na akupe nafasi ya ku overtake kwa wakati (angalizo, usije ikampigia horn ya fujo kama ile ' Piiiiiiiiiiiiiii... Piiiiiiiiiiiiii... Piiiiiiiiiii... hapana, ni Pipip.. Pipip...)
Alafu unaongeza na kumuwashia taa na kuzima, bila kusahau kuwasha indicator. Hiyo ya taa itampa ujumbe hadi Hiace kwamba nawewe una overtake kidogo, kwahivyo alegeze goti kidogo kukupa nafasi.
Mwisho kabisa jitahidi sana sana sana kuwa na nidhamu barabarani, overtake nzuri inahitaji nodhamu kubwa sana, hakikisha unaona mbele vizuri na hakuna chombo kilicho karibu.
Pia zingatia kukijua chombo chako na uwezo wake, unaweza kuona lorry limebeba container ya 40ft kumbe ni empty container na lorry ikawa nyepesi kuchanganya kuliko uwezo wa chombo chako.
Hakikisha unatengeneza timing nzuri ya kufanikisha overtaking ndani ya muda, usibweteke kwa kuona 40ft container kuidharau lorry [emoji597], itakuja kukushangaza siku moja.
Pole sana ndugu na nikutakie kheri zaidi uwapo barabarani.
Mwisho kabisa nawakumbusha madereva wenzangu kuongeza umakini na kujenga nidhamu barabarani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo pole sana kaka, lakini pia uwapo barabarani jitahidi kutumia na lugha za ishara kidogo...