Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Acha kuendesha ukiwa umelewa, hamna umwamba kwenye kuendesha gari huku umelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je katika hiyo mizinga ulikuwa nduki kichwani au fresh???
 

Mkuu pole sana
 
Why do you have to be so self-righteous and judgemental?
sasa kuna sababu gani ya kuendesha gari huku umelewa huoni unahatarisha maisha yako na watumiaji wengine wa barabara.

adhabu ya kuendesha huku umelewa inatakiwa iwe laki 300 kwa kosa la kwanza la pili 600k latatu 2m na jela miezi 2 mwezi wa mwisho akafanye kazi mochwari kitengo cha ajali barabarani
 

Pole sana.
 
Duuh nilidhani nimesikia kila kitu, kumbe mpaka mochwari nako kuna vitengo mkuu, kwamba maiti zinatengwa kulingana na vyanzo vya vifo vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…