Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ngoja niweke kabegi kwa buti kwanza. RRONDO
IMG_4481.jpeg
 
Sema mimi kwenye bus sijuagi kulala kwa mpangilio
Yaani naweza hata nikadondoka ama nikamlalia jirani
Kutuliza komwe kwenye seat siwezi.

Safari njema..Mama Depo atakumiss😂, angalau amekomesha ulevi.
😂😂 nimetokea nyumbani kwa mama Depo, sina kitu oote kwenye chupa leo.

Bus za usiku ziko poa… Tilisho na BM wako vizuri zaidi
 
Sema mimi kwenye bus sijuagi kulala kwa mpangilio
Yaani naweza hata nikadondoka ama nikamlalia jirani
Kutuliza komwe kwenye seat siwezi.

Safari njema..Mama Depo atakumiss😂, angalau amekomesha ulevi.
Nililala

Mimi nalala vizuri kabisa, na hukuti nimefika kumuegemea jirani. Ama kulaza kisogo kwenye seat, natulia nalala.

Sasa kama hizo huwezi mbona safari za usiku zitakusumbua? Maana huwezi talii nje ni kiza tupu.

😁😁 tuliaa binti. Wine sio pombe 😎
 
Nilifika salama, na hapa naingia kulala. Saint Anne

Tulipata jaribio kidogo, kuna raia wanachomekea vibaya kama hawana macho yan.
Kuna mama alikuwa mkali, anasema funguo mlango tuwachape makofi 😆😆

Mpaji Mungu ndugu zako kina Shirima mbona walevi hivi mpaka asubuhi 😂

Yote kwa yote night trip ni nzuri kama hauko kwenye usukani na kama hauna kazi ya kumuongelesha dereva ili asije kusinzia.
Ni music + usingizi murua
 
Aikoooh! Nitakuwa nasafiri night na hater wangu. full ma*** upoo?
 
Back
Top Bottom