Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndio maana zinaitwa dakika za nenda salama. Unaanza kuchukua tahadhari wakati ulikotoka ni mbali kuliko unakokwenda?
 
Aisee....
 
Mkuu naomba nikuulize Swali ?
Crown hasa hizi used ya bongo ikinunuliwa kwa mtu na ikiwa ina hali nzuri kwa milioni 11 hivi kwenye service nikatupe vitu gani haswa na oil ipi nzuri ya kuifaa kwanzia engine oil, gearbox oil?
Kama ina hali nzuri unafanya service ya kawaida tu ya engine labda na gearbox. Engine oil tumia 5w40 ya kampuni zinazoeleweka Total,Castrol, Mannol, Liqui moly. Gearbox service huwa haifanywi mara kwa mara as long as husikii kitu chochote cha ajabu gear zikibadilika.
 
Ahsante mkuu
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Nlijipachika last minute kwenye convoy ya washkaji, tulienda na Haval na Forester. Kili marathon na nyinginezo za aina hiyo ndio mwanzo na mwisho kwenda, wahuni walinizoom narekodi show ya kina jaivah, mario na whozu wakapita na macho matatu.
Pole sana. Kuna watu waliniburuza kwenda huko nilivyofika njia ya kuingia huko nilivyoona lile vumbi na foleni nikawaambia waende tu narudi kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…