Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr kaniambia mambo ya umri tu.
👍👍👍.Njia ya kuelekea Marangu
Uzee mwisho Msata
Application hii inaitwaje?Ilikuwa ni zaid ya robo tatu ya safari kufika mwisho wa safar mkoa flan.
Ilikuwa usiku mkubwa ndani ya ROSA Unadhani hapa palikuwa mkoa gani?
View attachment 3016133View attachment 3016135
Hiyo ni google map mkuu ila nmepiga picha[screen shot]Application hii inaitwaje?
Nokia walikuwa na app Yao ilikuwa nzuri...hata siikumbuki ilikuwa inaitwaje!!!Hiyo ni google map mkuu ila nmepiga picha[screen shot]
Bibi ulitisha sanaaHao wenye Lori lililoharibika sio waungwana.....
Walitakiwa waweke matawi ya miti pande zote kuashiria gari zinazokuja kuna hatari wapunguze mwendo ili hata wanao overtake wawe kwenye mwendo mdogo hadi wapite eneo la hatari.
Kuna siku nilifanya safari ya hasira za mkizi, miaka kadhaa huko nyuma....
Kuna watu walinikera, mchana wa jua kali nikatoka kwenye kitongoji nilichopo kuelekea Bagamoyo. Saa nane mchana nikawa kituo cha mafuta BP pale baada ya round about.
Nikaweka full tank, nikaanza safari... niliingia Tanga mjini saa moja kasoro usiku. Nilipanga kulala, ila saa tatu usiku nikaanza safari ya kurudi Dar. Nilikunywa Redbull 2 macho yakawa kama fundi saa...
Nilikuwa nasimamishwa kwenye vizuizi vya checkpoint nashusha vioo, nasalimia wananiuliza unatoka wapi unaenda wapi najibu huyooo natambaa.... spidi inapunguzwa kwenye tuta tuu baada ya hapo ni kunyoosha goti.
Saa saba kasoro usiku niko tena kituo cha mafuta BP pale Bagamoyo kuweka mafuta maana mshale ulikuwa umelala empty.
Tanga sikuweka mafuta, niliingia kitongojini kwangu saa nane usiku. Sina hamu maana, kuna muda nilijuta kwanini niliendekeza hasira, ila kesho yake nikasikia raha kwa kuwa nilienda nikarudi salama.
Usiku mnene unatisha hasa ile barabara ya Msata Bagamoyo, kiza kinenee nikawa nawaza, nikipata pancha hapa ndo basi tena....[emoji16].
Sikurudia na wala sitakaa nirudie tena huo mchezo.
Akili za Kasinde [emoji846].
Bibi ulitisha sanaa
Mkuu barabara zote za Tanzania usiku ni kama kucheza kamari Tu...jaribu kutoka DAR usiku kwenda DODOMA hapa unaweza kupaki pembeni ukasubiri asubuhi ufanye SafarHao wenye Lori lililoharibika sio waungwana.....
Walitakiwa waweke matawi ya miti pande zote kuashiria gari zinazokuja kuna hatari wapunguze mwendo ili hata wanao overtake wawe kwenye mwendo mdogo hadi wapite eneo la hatari.
Kuna siku nilifanya safari ya hasira za mkizi, miaka kadhaa huko nyuma....
Kuna watu walinikera, mchana wa jua kali nikatoka kwenye kitongoji nilichopo kuelekea Bagamoyo. Saa nane mchana nikawa kituo cha mafuta BP pale baada ya round about.
Nikaweka full tank, nikaanza safari... niliingia Tanga mjini saa moja kasoro usiku. Nilipanga kulala, ila saa tatu usiku nikaanza safari ya kurudi Dar. Nilikunywa Redbull 2 macho yakawa kama fundi saa...
Nilikuwa nasimamishwa kwenye vizuizi vya checkpoint nashusha vioo, nasalimia wananiuliza unatoka wapi unaenda wapi najibu huyooo natambaa.... spidi inapunguzwa kwenye tuta tuu baada ya hapo ni kunyoosha goti.
Saa saba kasoro usiku niko tena kituo cha mafuta BP pale Bagamoyo kuweka mafuta maana mshale ulikuwa umelala empty.
Tanga sikuweka mafuta, niliingia kitongojini kwangu saa nane usiku. Sina hamu maana, kuna muda nilijuta kwanini niliendekeza hasira, ila kesho yake nikasikia raha kwa kuwa nilienda nikarudi salama.
Usiku mnene unatisha hasa ile barabara ya Msata Bagamoyo, kiza kinenee nikawa nawaza, nikipata pancha hapa ndo basi tena....😁.
Sikurudia na wala sitakaa nirudie tena huo mchezo.
Akili za Kasinde 🙂.
Mkuu barabara zote za Tanzania usiku ni kama kucheza kamari Tu...jaribu kutoka DAR usiku kwenda DODOMA hapa unaweza kupaki pembeni ukasubiri asubuhi ufanye Safar
Nchi salana hii, trip piga muda wowote ukipata breakdown lala popote 🤣Hao wenye Lori lililoharibika sio waungwana.....
Walitakiwa waweke matawi ya miti pande zote kuashiria gari zinazokuja kuna hatari wapunguze mwendo ili hata wanao overtake wawe kwenye mwendo mdogo hadi wapite eneo la hatari.
Kuna siku nilifanya safari ya hasira za mkizi, miaka kadhaa huko nyuma....
Kuna watu walinikera, mchana wa jua kali nikatoka kwenye kitongoji nilichopo kuelekea Bagamoyo. Saa nane mchana nikawa kituo cha mafuta BP pale baada ya round about.
Nikaweka full tank, nikaanza safari... niliingia Tanga mjini saa moja kasoro usiku. Nilipanga kulala, ila saa tatu usiku nikaanza safari ya kurudi Dar. Nilikunywa Redbull 2 macho yakawa kama fundi saa...
Nilikuwa nasimamishwa kwenye vizuizi vya checkpoint nashusha vioo, nasalimia wananiuliza unatoka wapi unaenda wapi najibu huyooo natambaa.... spidi inapunguzwa kwenye tuta tuu baada ya hapo ni kunyoosha goti.
Saa saba kasoro usiku niko tena kituo cha mafuta BP pale Bagamoyo kuweka mafuta maana mshale ulikuwa umelala empty.
Tanga sikuweka mafuta, niliingia kitongojini kwangu saa nane usiku. Sina hamu maana, kuna muda nilijuta kwanini niliendekeza hasira, ila kesho yake nikasikia raha kwa kuwa nilienda nikarudi salama.
Usiku mnene unatisha hasa ile barabara ya Msata Bagamoyo, kiza kinenee nikawa nawaza, nikipata pancha hapa ndo basi tena....😁.
Sikurudia na wala sitakaa nirudie tena huo mchezo.
Akili za Kasinde 🙂.
Google maps. Search destination them start tripApplication hii inaitwaje?
Nchi salana hii, trip piga muda wowote ukipata breakdown lala popote 🤣
Hamna safar napenda kama za usikuuSithubutu kufanya hivyo tena labda itokee dharula.
Ila kwa kufata mihemko hapana, usiku unatisha pia una mambo mengi.
Hamna safar napenda kama za usikuu
yan ulikuwa mtu wa kaz kaz. Haha haaaUuweeeh....!!! Mi licha ya umri kusonga namuiga Baba Bataringaya 🙌.
Nimestaafu mambo ya kiza kinene, nyie endeleeni kutuwakilisha.
Wee lile giza la kwenye yale madaraja ya kati ya Bagamoyo na Msata unalionaga.....
Halafu ile siku napita sikupishana na gari yeyote toka Msata hadi nafika kituo cha mafuta BP, weeeh.... sina hamu.
Wakati najaza mafuta tena ile usiku mnene pale BP nilikuta Nissan Patrol zile tinted (za kazi maalum za kiserikali) niliitambua haraka japo ina plate namba za kawaida.
Dereva alikuwa ananitolea macho yenye maswali ila hana namna ya kuniuliza....
He was like, wewe mwanamke, usiku wote huu unatoka wapi, halafu nilivokuwa nimevaa sasa.... kilemba gauni kama dera ila linaishia magotini, viatu chachacha za ngozi soli ya mpira ile inakunjika kama silicon....🤪🤪🤪
Nikawa najinyoosha maana ndo sehemu niliona salama kushuka tangu kuanza safari Tanga, kisha huyooo nikamalizia safari hadi kitongojini nikapumzisha Bange za Kasinde.
yan ulikuwa mtu wa kaz kaz. Haha haaa