Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Barabara inajengwa porini halafu out of nowhere unakuta kamji kamezuka hapo katikati.

Nadhani iwekwe sheria ya kusogeza vijiji mbali na hizi highway.

Kuweka matuta ni ushamba mkubwa sana.
Kweli mkuu, inabidi serikali ije na sheria mpya inayozuia vijiji kuzuka tu kando kando mwa highway....
Bila hivyo miaka 40 ijayo itakuwa safari ya Dar Arusha ni speed 50 kote....maana vijiji vinaingana kwa kasi na vinakuwa zaidi kandokando ya barabara.
 
Nipo curious kujua Cc ya hiyo gari.Maana mi ndio ilikua zangu mafuta ya 5k-10k..Sikua nilipokuja kuoneshwa hali ya Fuel filter ikabidi nianze kujikaza kisabuni.

"Be Humble"
 
Mwee nilikuwa nasubiria tuombe na namba
Halafu mwishoni tumalizie "and the rest was history"
[emoji85][emoji85] [emoji2088][emoji2088]
 
Hao wana vijiji wanafuata nini barabarani?
Kwa kweli binadamu tu saa nyingine nao ni wabishi na wachokozi sana! Imagine hata treni tu zinavyopita maporini vile tena usiku, mbali kabisa na makazi ya watu ila bado kuna watu wanagongwa saa nane za usiku, eti mtu kalewa zake wanzuki huko anaenda kulala katikati ya reli usiku wa manane!

Sijui wanafanyaga nini mabarabarani humo hasa usiku! Mie ndiyo maana nasemaga saa nyingine ukute hata siyo watu ni mauzauza tu, lakini cha ajabu ukiwagonga unakuja kushitakiwa na unaambiwa eti walikuwa ni watu kweli, ila ukiwakwepa unapata ajali sasa najiulizaga sijui huwa wanafuata nini!
 
Barabarani ndio kuna maisha,biashara na kuona vitu vizuri vikipita
Bado siungi mkono kuwepo kwa mji barabarani (highway).

Hizo ni highway na sio barabara za mitaa. Zina sheria zake pamoja na kukaa mita 200 toka kati pande zote mbili.

India pamoja na watu wengi ila wana super highway (autobhan) zinaunganisha majimbo kwa majimbo.
 
Mita 200 zinatosha kuwasogeza mbali na mjini.

Hakuna kitu nachukia kama matuta. Bora vibao vya 50kph ila sio matuta.
 
Mita 200 zinatosha kuwasogeza mbali na mjini.

Hakuna kitu nachukia kama matuta. Bora vibao vya 50kph ila sio matuta.
Mita 200 utazuia ujenzi ila huwezi kuzuia watu kuvuka barabara. Kwenye hizi barabara watu wanaishi pande zote na hivyo kuvuka kila mara na ndio sababu ya kugongwa na kuweka matuta.
Mita 200 haitazuia watu kuvuka.
 
Wazee wa kumaliza kisahani panawafaaa dodoma kondoa au Bahati arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…