RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #2,141
Aisee!View attachment 1679557
Ndugu jamaa na marafiki wana vitukoo, wengine wamepakatana 😅.
Walinipandisha minyegee...🤪 hadi nikawaonea wivu..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!View attachment 1679557
Ndugu jamaa na marafiki wana vitukoo, wengine wamepakatana 😅.
Walinipandisha minyegee...🤪 hadi nikawaonea wivu..!
View attachment 1679555
Ntakuletea hayo maembe ila ni mabichi uyavundike mwenyewe [emoji28].
Karibu uwe co driver [emoji39].
Aisee!
Hapo kama mitaa baada ya Mikese hivi kabla ya kufika Moro..
Kweli mkuu, inabidi serikali ije na sheria mpya inayozuia vijiji kuzuka tu kando kando mwa highway....Barabara inajengwa porini halafu out of nowhere unakuta kamji kamezuka hapo katikati.
Nadhani iwekwe sheria ya kusogeza vijiji mbali na hizi highway.
Kuweka matuta ni ushamba mkubwa sana.
Nipo curious kujua Cc ya hiyo gari.Maana mi ndio ilikua zangu mafuta ya 5k-10k..Sikua nilipokuja kuoneshwa hali ya Fuel filter ikabidi nianze kujikaza kisabuni.Nimerudi tena kuweka mafuta pale pale,yafuatayo ndio mazunguzo yangu na Yule dada
Mimi:Mambo
Yeye😛oa
Mimi:Niwekee 15,000 (huku nampa20,000)
Yeye:Naomba uangalie kabla sijaanza kuweka nishakukariri
Nikatabasamu na yeye akacheka
Yeye:Siku ile mshale ulipanda
Mimi:Ulipanda ni kweli uliniwekea mafuta
Yeye:Ulijisikiaje
Mimi: Nilijisikia vibaya sana ndio maana leo nimekuja tena kwako nikuombe msamaha
Yeye:Mimi nimekusamehe (huku akinirudishia chenji 5,000)
Mimi:Asante hio chenji kaa nayo ni sehemu ya msamaha wangu.
Nilimuacha ametabasamu na roho yangu imetulia.
Mwee nilikuwa nasubiria tuombe na nambaNimerudi tena kuweka mafuta pale pale,yafuatayo ndio mazunguzo yangu na Yule dada
Mimi:Mambo
Yeye😛oa
Mimi:Niwekee 15,000 (huku nampa20,000)
Yeye:Naomba uangalie kabla sijaanza kuweka nishakukariri
Nikatabasamu na yeye akacheka
Yeye:Siku ile mshale ulipanda
Mimi:Ulipanda ni kweli uliniwekea mafuta
Yeye:Ulijisikiaje
Mimi: Nilijisikia vibaya sana ndio maana leo nimekuja tena kwako nikuombe msamaha
Yeye:Mimi nimekusamehe (huku akinirudishia chenji 5,000)
Mimi:Asante hio chenji kaa nayo ni sehemu ya msamaha wangu.
Nilimuacha ametabasamu na roho yangu imetulia.
Kwa kweli binadamu tu saa nyingine nao ni wabishi na wachokozi sana! Imagine hata treni tu zinavyopita maporini vile tena usiku, mbali kabisa na makazi ya watu ila bado kuna watu wanagongwa saa nane za usiku, eti mtu kalewa zake wanzuki huko anaenda kulala katikati ya reli usiku wa manane!Hao wana vijiji wanafuata nini barabarani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ha ha ha nimestaafu siku hizi
Bado siungi mkono kuwepo kwa mji barabarani (highway).Barabarani ndio kuna maisha,biashara na kuona vitu vizuri vikipita
Mita 200 zinatosha kuwasogeza mbali na mjini.Kweli mkuu, inabidi serikali ije na sheria mpya inayozuia vijiji kuzuka tu kando kando mwa highway....
Bila hivyo miaka 40 ijayo itakuwa safari ya Dar Arusha ni speed 50 kote....maana vijiji vinaingana kwa kasi na vinakuwa zaidi kandokando ya barabara.
Mita 200 utazuia ujenzi ila huwezi kuzuia watu kuvuka barabara. Kwenye hizi barabara watu wanaishi pande zote na hivyo kuvuka kila mara na ndio sababu ya kugongwa na kuweka matuta.Mita 200 zinatosha kuwasogeza mbali na mjini.
Hakuna kitu nachukia kama matuta. Bora vibao vya 50kph ila sio matuta.
Kuna Siku nilihesabu nilipata matuta 232 ,Na ndo barabara yenye matuta mengi kuliko yoyote hapa nchi,idadi ya matuta inazidi idadi za kilometa za barabara
Wazee wa kumaliza kisahani panawafaaa dodoma kondoa au Bahati arushaYes, Tunduma hadi Sumbawanga ni kilomita 225 hivi, matuta yapo kama 220 hivi hapo bila kuhesabu rasta!
Ila nilivyopita siku chache zilizopita, niliona kama kuna baadhi ya matuta yameondolewa, ila bado yapo mengi sana.
Wazee wa kumaliza 'kisahani' panawafaa ila utamu unakatishwa na tuta la kufa mtu.
Njia hiyo sawa,kwanza ni nzuri halafu haina msongamano wa magari mengiWazee wa kumaliza kisahani panawafaaa dodoma kondoa au Bahati arusha
Mpaka inafikirisha kwa nini wameweka idadi kubwa ya yale matutaKuna Siku nilihesabu nilipata matuta 232 ,
Siyo kama mbuzi wa Dar wanavuka kwenye ZebraInashangaza sana!
Labda joto la lami usiku!
Labda faragha!
Inabakia labda tu...
Lakini si binadamu pekee.. hata punda na mbuzi baadhi ya vijiji, halafu punda wao hawakwepi magari!