Jamaa ana maintain averKumbe chombo kweli ina maintain 160 kph 😁😁😁 speed nzuri sana
Average 160kph kwa karibu 30km hadi nimestop recordingKwa lami kuipata Avg ya 150km/h Dar
- Moro labdo uwe msafara wa Raisi njia imesafishwa kwa ajili yako tu
Ndio raha ya reli, haina matuta wala vibao vya 50.Jamaa ana maintain aver
Average 160kph kwa karibu 30km hadi nimestop recording
View attachment 3125136
Hahahah tusubirie PPP ya kafulila, Morogoro sio mbali bana.Hapo kama una bahati. Mnyororo unaweza kuanzia Chalinze
Hivi Peugeot ilikuwa na top speed ya ngapi? Maana inaonekana ni gari ambayo ilikuwa na nguvu sana tofauti na muonekano wake.Zamani tuliweka record na Peugeot 504 Iringa saa 1 unusu asubuhi tunashuka ruaha....Dar saa 6 unusu mchana tupo ilipokuwa Wizara ya Kilimo....tukawahi mkutano na Waxiri wa miaka hiyo ya 80,'s saa 7 mchana 👍
Kuna jirani yetu mzee flani ana hizo Peugeot nadhani ni 504 zipo mbili, za zamani sana, ile gari huwa nikipita naitizama kuna siku nikasogea karibu kumbe top speed kwenye kisahani ni 200.Zamani tuliweka record na Peugeot 504 Iringa saa 1 unusu asubuhi tunashuka ruaha....Dar saa 6 unusu mchana tupo ilipokuwa Wizara ya Kilimo....tukawahi mkutano na Waxiri wa miaka hiyo ya 80,'s saa 7 mchana 👍
Ni 200 km/hHivi Peugeot ilikuwa na top speed ya ngapi? Maana inaonekana ni gari ambayo ilikuwa na nguvu sana tofauti na muonekano wake.
Aisee kuna ankal wangu mmoja alikuwa na 405 ya miaka ya 90" ile box flan ilikuwa inatembea balaa. Sikuelewa kwanini aliipenda ile gari kumbe ni sababu ya speed mshale.Ni 200 km/h
Kwa miaka ile nadhani ilikuwa ni haina mpinzani, hio miaka gari nyingi zilikuwa 80 km/h au 120km/h kama sikosei.
Speed 200 kibongo bongo miaka hio gari chache ilikuwa ni balaa😁!Ni 200 km/h
Kwa miaka ile nadhani ilikuwa ni haina mpinzani, hio miaka gari nyingi zilikuwa 80 km/h au 120km/h kama sikosei.
Zilikua na models tofauti.Aisee kuna ankal wangu mmoja alikuwa na 405 ya miaka ya 90" ile box flan ilikuwa inatembea balaa. Sikuelewa kwanini aliipenda ile gari kumbe ni sababu ya speed mshale.
Ilikuwa sio poa, hio miaka kuna Land Rover zilikua na 80 top speed.Speed 200 kibongo bongo miaka hio gari chache ilikuwa ni balaa😁!
Tairi zake zilikuwa mikate ya nguvu🤣Zilikua na models tofauti.
View attachment 3125338
Angalia ground clearence yake, utasema ni SUV, chuma inapita SUV inapopita😂...
Landrover ndio waliotuponza hadi leo kuna vibao vya speed 30 na 50! Pumbavu sana colonial countryIlikuwa sio poa, hio miaka kuna Land Rover zilikua na 80 top speed.
Unakuta bamp kama tuta la viazi vitamu au wimbi la maji kama bahari imechafuka.😂.Landrover ndio waliotuponza hadi leo kuna vibao vya speed 30 na 50! Pumbavu sana colonial country
Na Tanroad wao wamekaa kimya tu. Sheria zishapitwa na wakati ni zama za 260kph walitakiwa limits wazisogezee walau kwenye 100kph minimum ni 80kphUnakuta bamp kama tuta la viazi vitamu au wimbi la maji kama bahari imechafuka.😂.
Mbele kidogo mbavu za mbwa kabla hujakutana na kibao cha 50, ile unatoka kibaoni torch hili hapa😂
Dah bongo noma,
Ni kweli mkuu, gari za sasa zina uwezo na comfo kuhimili speed kubwa.Na Tanroad wao wamekaa kimya tu. Sheria zishapitwa na wakati ni zama za 260kph walitakiwa limits wazisogezee walau kwenye 100kph minimum ni 80kph
Wapuuzi mno zama hizi gari zenye 90HP ni chache mno ila nyingi zinaanzia 130HP au zaidi with top speed of 180kph na kuendelea.Ni kweli mkuu, gari za sasa zina uwezo na comfo kuhimili speed kubwa.
Gari zamani inakuja ina 90 hp yaani hio unaambiwa ni balaa, sasa hayo masheria toka miaka hio wamekariri.
Wanashindwa kuji update kuendana na wakati.
Watu hadi wanaingia kwenye EVs, tena hizo EVs zinakimbia sana lakini bado zinatumika sheria za 1970s.Wapuuzi mno zama hizi gari zenye 90HP ni chache mno ila nyingi zinaanzia 130HP au zaidi with top speed of 180kph na kuendelea.
Sasa chukulia mtu ana gari ina 200HP au 300HP halafu unamwambia atembelee 50kph ni zaidi ya majaribu😁
AhsanteKuna jirani yetu mzee flani ana hizo Peugeot nadhani ni 504 zipo mbili, za zamani sana, ile gari huwa nikipita naitizama kuna siku nikasogea karibu kumbe top speed kwenye kisahani ni 200.
Kinachonishangaza pia ile gari ni sedan/saloon lakini ground clearence yake inaweza kuzidi hata SUVs za leo.
Hongera mkuu kama ulibahatika kupiga trip ndefu na hizo gari.