Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kumbe chombo kweli ina maintain 160 kph 😁😁😁 speed nzuri sana
Jamaa ana maintain aver
Kwa lami kuipata Avg ya 150km/h Dar
- Moro labdo uwe msafara wa Raisi njia imesafishwa kwa ajili yako tu
Average 160kph kwa karibu 30km hadi nimestop recording
Screenshot_20241014_202845_Speedometer.jpg
 
Zamani tuliweka record na Peugeot 504 Iringa saa 1 unusu asubuhi tunashuka ruaha....Dar saa 6 unusu mchana tupo ilipokuwa Wizara ya Kilimo....tukawahi mkutano na Waziri wa miaka hiyo ya 80,'s saa 7 mchana 👍
 
Zamani tuliweka record na Peugeot 504 Iringa saa 1 unusu asubuhi tunashuka ruaha....Dar saa 6 unusu mchana tupo ilipokuwa Wizara ya Kilimo....tukawahi mkutano na Waxiri wa miaka hiyo ya 80,'s saa 7 mchana 👍
Hivi Peugeot ilikuwa na top speed ya ngapi? Maana inaonekana ni gari ambayo ilikuwa na nguvu sana tofauti na muonekano wake.
 
Zamani tuliweka record na Peugeot 504 Iringa saa 1 unusu asubuhi tunashuka ruaha....Dar saa 6 unusu mchana tupo ilipokuwa Wizara ya Kilimo....tukawahi mkutano na Waxiri wa miaka hiyo ya 80,'s saa 7 mchana 👍
Kuna jirani yetu mzee flani ana hizo Peugeot nadhani ni 504 zipo mbili, za zamani sana, ile gari huwa nikipita naitizama kuna siku nikasogea karibu kumbe top speed kwenye kisahani ni 200.

Kinachonishangaza pia ile gari ni sedan/saloon lakini ground clearence yake inaweza kuzidi hata SUVs za leo.

Hongera mkuu kama ulibahatika kupiga trip ndefu na hizo gari.
 
Landrover ndio waliotuponza hadi leo kuna vibao vya speed 30 na 50! Pumbavu sana colonial country
Unakuta bamp kama tuta la viazi vitamu au wimbi la maji kama bahari imechafuka.😂.
Mbele kidogo mbavu za mbwa kabla hujakutana na kibao cha 50, ile unatoka kibaoni torch hili hapa😂

Dah bongo noma,
 
Na Tanroad wao wamekaa kimya tu. Sheria zishapitwa na wakati ni zama za 260kph walitakiwa limits wazisogezee walau kwenye 100kph minimum ni 80kph
 
Ni kweli mkuu, gari za sasa zina uwezo na comfo kuhimili speed kubwa.
Gari zamani inakuja ina 90 hp yaani hio unaambiwa ni balaa, sasa hayo masheria toka miaka hio wamekariri.
Wanashindwa kuji update kuendana na wakati.
 
Wapuuzi mno zama hizi gari zenye 90HP ni chache mno ila nyingi zinaanzia 130HP au zaidi with top speed of 180kph na kuendelea.
Sasa chukulia mtu ana gari ina 200HP au 300HP halafu unamwambia atembelee 50kph ni zaidi ya majaribu😁
 
Watu hadi wanaingia kwenye EVs, tena hizo EVs zinakimbia sana lakini bado zinatumika sheria za 1970s.
Mungu atusaidie.
 
Kuna jirani yetu mzee flani ana hizo Peugeot nadhani ni 504 zipo mbili, za zamani sana, ile gari huwa nikipita naitizama kuna siku nikasogea karibu kumbe top speed kwenye kisahani ni 200.

Kinachonishangaza pia ile gari ni sedan/saloon lakini ground clearence yake inaweza kuzidi hata SUVs za leo.

Hongera mkuu kama ulibahatika kupiga trip ndefu na hizo gari.
Ahsante
Hizo ni gari za mfaransa... 👍
Na nyakati hizo barabarani kulikuwa hakuna vikwazo.
 
Back
Top Bottom