Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa mimi sasa hivi mtu ambae anapenda kudrive barabara nzuri

Kwa top ten yangu nai rank barabara ya dom to iringa ndo kali zaidi
Dah kwa wale wapenda konakona

Ila kwa barabara bora zaidi tz niliodrive kuna dar _kyela
Hio inamchanganyiko wa kila kitu wa straights kona na makila kitu....
Hadi maandhari
 
Kweli kabisa upo sawa. Mungu hututangulia na kutulinda. Ni vile hatujui saa wala dakika yetu
 
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji38][emoji28]*****!
 
Inashangaza sana!

Labda joto la lami usiku!
Labda faragha!
Inabakia labda tu...

Lakini si binadamu pekee.. hata punda na mbuzi baadhi ya vijiji, halafu punda wao hawakwepi magari!
Ni kweli ht mm 1 day nimetoka dom naenda mbeya ucku saa 3 pale mtera nilimkuta punda kati kati ya barabara na kaganda km sanam ikabidi nipite pemben tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…