Ajali sometimes huwa inatokeaga in a single day,na hiyo single day wengi wetu ndo hatuijui.Hizi sheria za barabarani zinakuwa updated kila kukicha ili kutukinga na madhila yanayowapata wengine sehemu mbalimbali duniani yasitupate na sisi.Hata hapa forum-nikimsikia mtu anatoa experience yake ya ajali during driving huwa naichukulia serious mno,very serious kwelikwel na kuchukua hatua binafsi ili na mimi changamoto hyo niiepuke.Ni bahati kubwa sana kuinteract na anaye survive ajali na sisi kupata elimu kutoka kwake manake anatuokoa na mengi.
* Kikubwa tuepuke udereva wa mazoea.Ex-Magari ya Magazeti huwa tunayasifia kwa haraka na umakini wa dereva lakini huwa wakipata deadly accident kutokana na mwendo tunashikaga vichwa.Dereva ili uwe salama lazima ukubali kujifunza kila siku.