Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Aisee siku yaki kukuta utajionea mziki na hio 3rd party mkuu.
 

Hii kauli ya kusinzia huku unatembea imenikumbusha wanangu wapiga box,zilikua ndio story zao hizo.
 
Daah we ni roboti jamaa angu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Daah we ni roboti jamaa angu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kikubwa ni kujisoma na kujielewa tu mkuu. Kwenye brain ndio engine ya mwanadamu.. brain ndio hutuma taarifa katika sehemu zingine za mwili.. ukisha master tu brain yako.. mambo mengine utafanya hadi wengine wakushangae.. brain ni kama software itafanya unavyotaka kama ukisha master na kuielekeza cha kufanya.. ndio maana kila kitu ni tarining tu..
 
Nakubali mkuu,mimi pia ni bingwa wa kutokulala barabarani na hata nyumbani inajulikana silalagi.

Ila nakwambia siku ya kufa nyani miti huteleza mkuu,tulitoka club sa 9 usiku gari akawa anaendesha mshkaji wangu mimi nikawa naamini nitamchunga asilale aisee nilipitiwa na usingizi sijui umetoka wapi wkt haijawahi kunitokea kitu kama hicho.

Mshkaji kumbe nae amelala, ila Mungu ni mwema ile nashtuka nafumbua Macho aisee ndio tuko tunalivaa karavati tuko speed kama 120km/h,ma airbag yakatoka na gari ikaishia hapo.

Apart from maumivu ya ajali ila nilijifunza kitu,kumbe mtu anaweza akafa sababu ya ule mshtuko wa ajali akiwa usingizini.Naamini kile kitendo cha Mimi kushtuka na kumshtua mwana wkt tukikaribia kupata ajali kilitusaidia kujiandaa kisaikolojia na kuuandaa mwili kwa ile shock ya ajali.

All in all ni Mungu tu bro hua anaokoa jahazi.
 
Ni kweli.
 
Kuhani unajitahidi kujitetea. Yan me nisipolala masaa 8 yakatimia, aisee the next day nitahangaika na usingizi ule wa baada ya kushiba.....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ