Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Upo sahihi kabisa Mkuu, yaani haya Mashirika ya Bima hayalipi kabisa km utakutikana na kilevi chochote hata chupa tupu ya kilevi
wengi hawakumbuki kile kisa cha chamaa aliyekuwa akiwaua wake zake kwa kusukuma gari kwenye korongo/ bonde na kwenda kudai Bima,
bora 3rd party na ndio huwa naikata bora kuchunga barabara na madereva wenzako
nimeingia TIRA MIS nakitafuta kipengele hicho cha Comprehensive sijakipata, nakitafuta bado nitakiweka TIRA MIS
Aisee siku yaki kukuta utajionea mziki na hio 3rd party mkuu.
 
Ha ha ha hatari sana. Kuna watu hasa Eastern European wanapenda kufanya kazi masaa mengi sasa ili wasisinzie au kuchoka wanapiga hizo red bull,wengi huwa wanadondoka na kufa ghafla. Anaepona ni yule siku anaenda kulala leo jioni anaamka kesho usiku! Usingizi ukizidi unasinzia huku unatembea(ishanitokea).

Hii kauli ya kusinzia huku unatembea imenikumbusha wanangu wapiga box,zilikua ndio story zao hizo.
 
Unachosema upo sahihi kabisa mkuu. Nimeisha jisoma sana na ndio maana nafanya hivyo.. huwa natumia hizo kama cha ziada, ila hata bila hizo nakesha bila shida kama nimepumzika vya kutosha kabla ya kuanza safari. Usingizi ni swala la brain yako ulivyo i train. Kuna kipindi nakuwa na kazi zangu za kawaida inaweza nichukua hata siku mbili hadi tatu bila hata kufumba macho.. na hata wenzangu kazini huwa nawaeleza hivyo na huwa wana nishangaa sana
Daah we ni roboti jamaa angu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Daah we ni roboti jamaa angu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kikubwa ni kujisoma na kujielewa tu mkuu. Kwenye brain ndio engine ya mwanadamu.. brain ndio hutuma taarifa katika sehemu zingine za mwili.. ukisha master tu brain yako.. mambo mengine utafanya hadi wengine wakushangae.. brain ni kama software itafanya unavyotaka kama ukisha master na kuielekeza cha kufanya.. ndio maana kila kitu ni tarining tu..
 
Nakubali mkuu,mimi pia ni bingwa wa kutokulala barabarani na hata nyumbani inajulikana silalagi.

Ila nakwambia siku ya kufa nyani miti huteleza mkuu,tulitoka club sa 9 usiku gari akawa anaendesha mshkaji wangu mimi nikawa naamini nitamchunga asilale aisee nilipitiwa na usingizi sijui umetoka wapi wkt haijawahi kunitokea kitu kama hicho.

Mshkaji kumbe nae amelala, ila Mungu ni mwema ile nashtuka nafumbua Macho aisee ndio tuko tunalivaa karavati tuko speed kama 120km/h,ma airbag yakatoka na gari ikaishia hapo.

Apart from maumivu ya ajali ila nilijifunza kitu,kumbe mtu anaweza akafa sababu ya ule mshtuko wa ajali akiwa usingizini.Naamini kile kitendo cha Mimi kushtuka na kumshtua mwana wkt tukikaribia kupata ajali kilitusaidia kujiandaa kisaikolojia na kuuandaa mwili kwa ile shock ya ajali.

All in all ni Mungu tu bro hua anaokoa jahazi.
 
Kikubwa ni kujisoma na kujielewa tu mkuu. Kwenye brain ndio engine ya mwanadamu.. brain ndio hutuma taarifa katika sehemu zingine za mwili.. ukisha master tu brain yako.. mambo mengine utafanya hadi wengine wakushangae.. brain ni kama software itafanya unavyotaka kama ukisha master na kuielekeza cha kufanya.. ndio maana kila kitu ni tarining tu..
Ni kweli.
 
Kuhani unajitahidi kujitetea. Yan me nisipolala masaa 8 yakatimia, aisee the next day nitahangaika na usingizi ule wa baada ya kushiba.....

Back
Top Bottom