Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wapare waheshimiwe.

Leo nimefika Usangi juu kabisa kuna kijiji kinaitwa Kilimanjaro.

Nimeondoka saa 12 asubuhi. Sahivi saa 1 jioni ndo narudi arusha.

Nimetumia nusu tank.

Nimejifunza mengi sana. Wapare wanajua kuishi aisee.

Sijawahi kuona watu wanaishi milimani to that extreme. Sijui wakilewa wanarudije kwao.

Kwa mbali ni ziwa Jipe mpakani na Kenya.
 
You are making obvious mistakes.

Kuwa makini sana. Barabarani ni hatari sana.

Hakuna mazoea na barabara.

Heshimu sana usingizi. Kitendo cha sekunde 3 tunakuita marehemu.
 
Leo nimepiga kona kama 100 hivi.
 
Mkuu hii barabara ya iringa dodoma iliniharibia tairi.
Labla kama wameitengeneza, maana ilikua ni mazoezi ya kukwepa mashimo
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mie cha kwanza mazingira, cha pili lazima nipaki pembeni nishangae kidogo.. maana mie uzuri wangu huwa sisafiri na mtu.. na enjoy sana nikiwemo mwenye kwenye gari na nikuwa huru sana

Duh km 500+ peke yangu sijui kama nitaweza

[emoji3][emoji3][emoji3] masharti ya mganga sio!!

Aiseee kusafiri peke yako ni mzuka zaidi,kuna muda unataka kujamba unashindwa kisa una abiria ndani,au unajamba zako kimyakimya unashangaa tu kaharufu kameibuka tu mara uhangaike kushusha kioo,mara uwashe a/c na hapo ndio balaa zaidi.

Na usipojamba njia nzima utafika tumbo limejaa gas/mifuzi,au nasema uongo ndg zangu?

Situation kama hio hua mnai handle vipi mkiwa na abiria wakuu.
 
Kusema ukweli mimi huwa na bet,
Siku yakinikuta kama gharama ni chini ya 1.5M sitajilaumu
 
Unasimama unasema tukachimbe dawa
 
Hahah it depends utakuwa upo na nani, kama ni sweetie kwanini uogope? Kama ni abiria shusha kwanza vioo then jiachie kimya kimya ama ukihisi ni gesi nyingi unasimamisha unaomba udhuru wa kuchimba dawa.


Mimi sioni raha katika kusafiri mwenyewe, labda ndani ndio napendaaa sana kuwa mwenyewe sbb zipendi kuvaa vaa manguo.
 
😀😀😀😀😀 kuna vibe la safari ya peke yako kwenye gari.. hasa kwa siw wengine popote kambi... umeisha elewa 😀😀😀
 
Duh umenichekesha sana....uzi wote changamoto hio hatukuijadili....Au nasema uongo ndugu zangu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…