East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Ukweli hiyo ina raha yake.. ila ngoja nitulie kwanza na hii style yangu.. hapo mbeleni nitafanya maarifa ya kuwa natembea na pisi yanguHapo mkirudi watu wanaulizia road trip ingine lini jamani...?