East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Hivyo vichwa vya njiani sio salama sana kuvibeba.. ni bora utembee mwenyewe tu binadamu siku hizi hatusomeki vizuriWa ajabu sana na ndo wale ukiwapa lift watataka kuwaombea lift na wengine au kukubadilishia radio stations na kupiga na honi kabisa