Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna wakati traffic ukiongea nao kirafiki na wao wanashuka.

Ukiwapandishia nao wanakukomoa.
Kuna ambao mkuu hiyo chance ya kukusikiliza hutoipata-Wanakusikiliza kwa lundo la Faini na upole wako kwao ndo silaha (Unasikilizwa kwenye EFD machine na matokeo ya masikilizano ni risiti ya bili 🙂 🙂 🙂 ).Kikubwa mwombe Mungu mkutane waelewa.Madereva wa daladala kuna traffic wakimwona kaingia barabarani wanajua kabisa siku hiyo si njema.
 
Hiki hutokeaga kwangu hasa nikichanganya sheli. Mara nyingi huwa naweka Total nikiwa mjini ila siku za safari huwa naweka wese la Lake oil full tank.
Sasa mara chache hutokea nataka niweke mafuta katika zone ambayo hamna total. Huwa sipendi kutembelea gari inayowaka taa ya mafuta hivyo nalazimika kuweka mafuta kwenye visheli uchwara kama Oilcom, Meru n.k Hapo ndio mziki sasa.

Gari yangu hunionyesha mabadiliko kwenye gauge after 1.5km distance maana nina katabia ka ku reset trip meter kila nikitoka sheli. Ikitokea haijafanya hivyo huwa nafadhaika sana na kuisi nimeibiwa hela bure.
Lake Oil, Camel Oil, Oil Com na vi petrol station uchwara naviogopa sana.

Total, Puma kidogo Oryx ndo pekee naviamini.

Nikainza safari lazima nifanye mapping ya nearest petrol station ya hizo kampuni niongezee mafuta.

Kama unatoka Dar kwenda Arusha najua Korogwe kuna hivyo vituo na Moshi mjini.

Au Dodoma au Iringa kama naenda Mwanza au Mbeya.
 
Ukiambiwa ufuate njia husika kupeleka malalamiko yako ndo utajua hujui.

Bora umalizane nae uondoke.

Hakuna polisi wa kumshtaki polisi mwenzake.

Kitu kidogo unaweza fuatilia hata miaka.
Shida ndio iko hapa. Hata kama una haki, procedure za kuipata hio haki zinakatisha tamaa. Mfano umekamatwa kwamba hujalipa deni la faini limefika 60,000/- na ni kweli walikosea wakaweka namba ya gari yako kimakosa. Mpaka ijulikane ni kweli utakuwa umepoteza muda(pesa) mwingi sana.
 
Tatizo nakimbia sana, usiku siwezi kuona umbali mrefu. Naogopa vicheche nisije kukutana nacho kwenye Kona au Mlima nikiwa 170! Nishapiga trip za usiku ila inachosha. Unapishana na gari then huoni kwa sekunde kadhaa ni hatari.
Usiku patam sana arif, hamna hamsini we uwe unaona freshi tu maana itakubidi utembelee Full kuna maeneo yana matuta ila vibao hakuna. Raha ni kuwa ukipiga hata 200kph amna kero za kuombana leseni na kadi ya gari. Ligi za usiku huwa tamu maana hamna wa kukusumbua. Naitaga "Battle of the plates" ni kusomeshana namba tu.

Ku deal na malori mi huwa nawavutia taa ile Dim/Full toggle! Ukiona karespond ujue hajasinzia ila akichuna nabana pembeni kabisa kwenye chaki yangu ya njano nakazia kibati tukiwa tunapishana kuepuka dhahama yeyote inayoweza tokea.
 
Fuel filter ilifanyaje mkuu?
Lazima ilijaa uchafu karibia kuziba
Lake Oil, Camel Oil, Oil Com na vi petrol station uchwara naviogopa sana.

Total, Puma kidogo Oryx ndo pekee naviamini.

Nikainza safari lazima nifanye mapping ya nearest petrol station ya hizo kampuni niongezee mafuta.

Kama unatoka Dar kwenda Arusha najua Korogwe kuna hivyo vituo na Moshi mjini.

Au Dodoma au Iringa kama naenda Mwanza au Mbeya.
Gari nyingi ndogo full tank inatoboa Dar-Arusha. Kuepuka usumbufu unajaza tank tu
 
Usiku patam sana arif, hamna hamsini we uwe unaona freshi tu maana itakubidi utembelee Full kuna maeneo yana matuta ila vibao hakuna. Raha ni kuwa ukipiga hata 200kph amna kero za kuombana leseni na kadi ya gari. Ligi za usiku huwa tamu maana hamna wa kukusumbua. Naitaga "Battle of the plates" ni kusomeshana namba tu.

Ku deal na malori mi huwa nawavutia taa ile Dim/Full toggle! Ukiona karespond ujue hajasinzia ila akichuna nabana pembeni kabisa kwenye chaki yangu ya njano nakazia kibati tukiwa tunapishana kuepuka dhahama yeyote inayoweza tokea.
Usiku raha ila hatari.
 
Lake Oil, Camel Oil, Oil Com na vi petrol station uchwara naviogopa sana.

Total, Puma kidogo Oryx ndo pekee naviamini.

Nikainza safari lazima nifanye mapping ya nearest petrol station ya hizo kampuni niongezee mafuta.

Kama unatoka Dar kwenda Arusha najua Korogwe kuna hivyo vituo na Moshi mjini.

Au Dodoma au Iringa kama naenda Mwanza au Mbeya.
Puma nina bad experience nao sana.Nishakutana na incidence za kutaka kuibiwa mafuta vituoni mwao na other issues na zikawa resolved peaceful either at the station level or HQ.Total at least naona wanajielewa sana na sijawah kukutana na major incidence kwao.
 
Lake Oil, Camel Oil, Oil Com na vi petrol station uchwara naviogopa sana.

Total, Puma kidogo Oryx ndo pekee naviamini.

Nikainza safari lazima nifanye mapping ya nearest petrol station ya hizo kampuni niongezee mafuta.

Kama unatoka Dar kwenda Arusha najua Korogwe kuna hivyo vituo na Moshi mjini.

Au Dodoma au Iringa kama naenda Mwanza au Mbeya.
Total kwangu ni best. Ila mafuta yake yanaungua kwa wepesi sana. Sio rafiki kwa Safari. Labda town trips tu.
Ndio maana napendelea Lake oil nikisafiri. Nimetoboa Dar-Mbeya na wese la 130K tu..with a 1.8L engine.
 
Back
Top Bottom