RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #2,501
Duh 18m mpaka 7m pole sanaNgoja niiende kwa mganga, abane hivyo hivyo hadi ishueke ifikie 6 million.. maana nao jamaa wale wajinga sana , ukiepeleka gari yako wanaanziaga 5 million hata kama gari ina vakue ya 15 million na huwa kama wanaitia mikosi yani, huto iuza sehemu ingine hadi uirudishe pale 😀😀😀.. na mie naenda kuwachomea .. 😃😃😃.. iwe ngoma draw.. bado nauchungu niliuza gari yangu 7 million.. na huku nilitakiwa niuze million 18 au 17.. ila sijui waliitia nuksi gani, alafu madalali wote wakaijua.. ikawa kama tangazo