RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #2,741
Za huko ziko special kupambana na za wazungu. Upate Camry au Avensis ya UK moto wake balaaKweli, katika gari za toyota ambayo nilionaga ni machine ni haswaa.. nayo ilikuwa ni toleo la canada, toyota corolla.. na ilikuwa na kisahani cha 240.. ile gari inatembea kishenzi.. ilinishangazaga, ila sio crown