Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni ngumu sana kwa mtu wa kawaida kuhojiwa chanzo cha hela wakati ananunua gari unless kuna kitu very alarming,hata kwa public servant ukiona umefatiliwa juwa kuna usnitch kwa wanaokuzunguka ofisin au uraian.Kuna mtu mwingine unakuta kachomewa na mtu ofisin anaulizwa hata Spacio katoa wapi hela ya kununulia-Tanzania ina mambo kwelikweli,kuna jamaa alihamishiwa mkoan akaenda na V8 binafsi ofisin staff mwenzake akamtonya jamaa asije nayo tena mkurugenzi hana hvyo lazima problem zitaanza na kiukweli nasikia jamaa hajawahi enda nayo ofisin tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] .Kama ni raia wa kawaida Nunua tu mzee-Kikubwa uwe na money.
Unakuwa mtumwa wa mali yako?

Kama nimenunua hilo gari kihalali huyo mkurugenzi ataisoma namba.
 

Attachments

  • 7368550F-6970-4644-8B8A-30210A7A0830.jpeg
    7368550F-6970-4644-8B8A-30210A7A0830.jpeg
    235 KB · Views: 7
Nikitoa unazi wa Volvo, balaa ninalolitamani ni Audi RS6 4.0 TFSI V8 Avant Tiptronic quattro ya 2014.
Goma hili lina:
1. 0-62mph in 3.9 seconds
2. Top speed 155 mph
3. Cylinder 8, Valves 32
4. Engine power ni 552bhp
5. Engine torque ni 516 lbs/ft



Hivi bongo lipo hili gari?

Daah dude lina specs za maana.

Mimi naitamani GT-R hata ya 2008 ni poa tu.
 
Mtoto wa Upanga

K: Na wewe je...!!!!

R: Mimi naitwa dabo R ....! aka mtoto wa mama Nanayakara bin Bataringaya 😜

K: 😂😂😂😂 tuma salamu

R: Natuma salamu kwa Taibali na Colin na Kamcho na Amina kiuno 😅

K: 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Ila sijasahau nakudai mabungo yangu ....

R: 🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️

K: Nakufata hukohuko 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️ See you @Kilimarathon2021😋
 
K: Na wewe je...!!!!

R: Mimi naitwa dabo R ....! aka mtoto wa mama Nanayakara bin Bataringaya 😜

K: 😂😂😂😂 tuma salamu

R: Natuma salamu kwa Taibali na Colin na Kamcho na Amina kiuno 😅

K: 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Ila sijasahau nakudai mabungo yangu ....

R: 🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️

K: Nakufata hukohuko 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️ See you @Kilimarathon2021😋
Duh nakimbia 21k nina wiki tatu za kurudi kwenye form
 
Back
Top Bottom