Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Gari yenye uwezo! Passo ya Pistoni nne! Hongera mkuu...
 
Attachments

  • IMG-20201217-WA0002.jpg
    IMG-20201217-WA0002.jpg
    44.3 KB · Views: 18
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Road trip ya tarehe 24.12 uelekeo Dar-Segera-Korogwe-Himo utaipenda.
 
Back
Top Bottom