Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hii itakuwa Volkswagen Beetle ya Burigi Chato 🤣 🤣 ,hii gari kwa kuchemsha asikwambie mtu ila ndo hvyo mambo ya Beetle za you tube 😁😁
Injini ipo nyuma, na je rejeta yake umeshaiona?
gari ndogo Rim size 15' wakati Mjapani ni 13' na 14'
itaachaje kukimbia? Arusha Beetle na Combi sasa hivi zina soko
 
German machine....muziheshimu tu
Of course huwezi fananisha na japanese cars in terms of comfortability (Germany cars are the best in this aspect).Beetle ya 1970 jamaa amei overrate sana 🤣 🤣 🤣 ,mzee alikuwa nacho nyumbani wala siwezi kukisahau manake kuna siku kakitembeza sana kwa speed for some kms kikachemsha na kidogo kiwake moto,Lakin Volks. za sasa hawez fananisha na za 1970's hata kidogo.Binafsi napenda kupata old cars car beetle sababu naziona ni unique mnoo kwa ajili ya special days town.
 
Beetle za miaka hiyo nakubaliana na wewe maana hata mzee wangu yake iliungua kama mzahaa alikua nazo mbili akauza iliyobaki.
 
Jamaa gani tena ka-overrate
sijaweka Beetle ya 1970, nimeweka mpaka Beetle za leo zinazotumika Kenya na Arusha na Video ya leo jamaa kaachwa ndani ya speed 200 km/h
haya magari ni ya miaka hii ya 2020, hizo Kobe za 1970 nilizikuta, nikazipanda
nalichosisitiza Germany yupo mbali ktk fani hii. km sio post zangu basi Sorry
 
haya Madude kweli yanakimbia, kuna mdau humu alisema anatoka Mwanza hadi Dar masaa 12, naweza kidogo nikaamini maana nimeona speed mpaka 299 Km/h bado mtu anapitwa kama kasimama.
kwa vile barabara zetu si nzuri sana ina maana kilomita 1200 ni masaa ma4 basi Bukoba Dar masaa 12 yawezekana
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…