Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Niombe ombe mkuu na mimi nimiliki ndinga one day mkuuService mpaka upeleke gereji? Ama hujui Sasa hivi Kuna mobile mechanic.
Siku ukimiliki gari utayajya yote hayo. KWA Sasa subiri kwanza
Gari yenye uwezo! Passo ya Pistoni nne! Hongera mkuu...Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Mpwa nadhani ni mimi tu ambaye sina gari jfKwani JF kuna mtu hana gari?
Nilimuuzi huyu Max, nikamuachia na ule mdubwana unaning'nia...😂😂Ile yenye korodani umeiuza?!
Nilihisi tu kitakua chuma cha kifaransa 🤣Ilikua Renault...
Kuna mwana jf alifika bei, nikamuachia...😀😀
Hii gari unaona chini kweli? Mbona vioo vyake vinaangalia mbinguni?Nimeamua kufufua chuma yangu mkuu, naona humu ndani heshima imeshuka...😎😎
Road trip ya tarehe 24.12 uelekeo Dar-Segera-Korogwe-Himo utaipenda.Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044