Nadhan ni wewe if am not confused ulitoa mfano wa jamaa alienda kwa dealer kutaka kununua Range Rover akaanza kuulizia consumption ya mafuta, dealer akamjibu kwamba bado hajawa mteja wa range 🤣 🤣Nani ananunua 2.5L turbocharged engine ategemee low fuel consumption?!
Uko 1L/5KM utacheza nazo sana, EJ20 tu inakula wese.Kama mtu anataka relief ya mafuta kwa speed hzo nashauri tu aende kwenye Germany cars.Poor fuel economy ndio how much Kms per 1 litre urban and highway?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hahahahah nimecheka sana mzee😂😂😂Namna hii safari si inakuwa mateso?! Mimi Dar-Arusha nasimama Korogwe, nasimama Same then Moshi. Siwezi kwenda moja kwa moja kama ambulance.
Hio mbona nimeona ni turbo Subaru mayai zile 😁😁😁!!! Vuta tu mkuu utasumbua road ila hakikisha hela ya kwenda sheli sio ya mawazo!Wadau naomba mwenye anaifahamu Subaru Forester SH9 anipe maelezo kidogo.
Nafikiria kuvuta hii chuma.
hii SH9 ni ile EJ25 turbo 😁😁😁Uko 1L/5KM utacheza nazo sana, EJ20 tu inakula wese.Kama mtu anataka relief ya mafuta kwa speed hzo nashauri tu aende kwenye Germany cars.
Sahihi kabisa-Kuna jamaa alilinunua kidogo liondoke na ndoa yake akaona isiwe tabu akauza mapema.Hio mbona nimeona ni turbo Subaru mayai zile 😁😁😁!!! Vuta tu mkuu utasumbua road ila hakikisha hela ya kwenda sheli sio ya mawazo!
Au 2JZ tena FSEDuh bladder 4gr
Hahahah ilikuwaje huko mzee mbn humalizii hadithiSahihi kabisa-Kuna jamaa alilinunua kidogo liondoke na ndoa yake akaona isiwe tabu akauza mapema.
Ogopa sana joto la gari linalokimbilia mapema kwenye suruali mkuu 😁 😁 😁 . Kuendesha SG9 kwa mshahara ni kujitafutia matatizo tu. Hivi vitu vinavyokula kwanza ndo vifanye kazi dah 😁 😁 🙌 🙌Hahahah ilikuwaje huko mzee mbn humalizii hadithi
Hahah mke mkubwa akaona nafasi yake imeingia kidudu ndinga.... akaleta makarate chuma iondolewe atawale mwenyeweSahihi kabisa-Kuna jamaa alilinunua kidogo liondoke na ndoa yake akaona isiwe tabu akauza mapema.
Daaah huu ukauzu sio wa nchi safari kama mnaenda kukomboa mateka bana, laza mshale but at same time road trip gotta be adventurous aisee. Some snacks kidogo, drinks kimtindo kwa asiyeendesha hata gambe freshi tu safarini humo. Bobu dere maji muhimu, short call break ni healthy for both of u dere na abiria wako
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hapana, sio hiyo. Ya Kamanga-Sengerema, feri unapandia city center.Kamwanga feri ndio kigongo-busisi? Kama ndio hiyo ni lami full mpaka sengerema and beyond. Lami nzuri sana.
hii SH9 ni ile EJ25 turbo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahah kumbe hata wewe hio shape hujailewa mkuu 😂😂😂!!!Wameziharibu shape sana mzee.Gari imekua inafanana kama bata vuzi bana.,afu bahati mbaya nna allergy na gari zenye blind sport mirror labda kwenye ma v8 na magari ya dizaini hio ndio inapendeza.
SG5 2006(facelifted) model iko poa sana.
Hahahah kumbe hata wewe hio shape hujailewa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Kwangu ile SG9 ndio best looking Forester so far atleast kwa boxy shape imekaa kiume zaidi with sleek curves!
Sijui ushamba wangu, gari zenye turbo ( zinazo tumia turbo ) huwa sizipendiHio mbona nimeona ni turbo Subaru mayai zile 😁😁😁!!! Vuta tu mkuu utasumbua road ila hakikisha hela ya kwenda sheli sio ya mawazo!
Maintanance yake ni ya nguvu sanaSijui ushamba wangu, gari zenye turbo ( zinazo tumia turbo ) huwa sizipendi
Maintanance sio shida sana au kitu cha kuogopesha. Ila sizipendi toka zamani napenda gari iwe na engine kubwa ( natural ), CC kubwa na HPMaintanance yake ni ya nguvu sana
NA Ndio engine imara na za kiume! Turbos hasa za Petrol nyingi ni modifications za kufosi HP!Maintanance sio shida sana au kitu cha kuogopesha. Ila sizipendi toka zamani napenda gari iwe na engine kubwa ( natural ), CC kubwa na HP
Basi ntaacha mzee.To put it short-huu ni ukatili,unajua madhara ya mtu kuvumilia mkojo kwa mda mrefu?
What is destination kwenye personal health ya mtu?